KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,352
.
Watanzania wanakunywa sana kumbeKWANI KUFANYA BAA AU HOTEL NI DHAMBI.HAYA MAFIKIRA NDO YANAFANYA WATU WAANZE KUCHAGUA KAZI. HIVI BAR INAINGAIZA AROUND MILLION 24 KWA MWEZI UNAWEZA SEMA KUWA HIYO NI SHUGHULI OVYO???
HalariKwani bar ni charity place au inatengeneza pesa? Hapo lazima kkuwe na ajira hivo huyo ni mwajiliwa. Heshimu kazi ya MTU ili mradi ni hatari.
Shida kwanini asichukulie km kazi ya kawaida anaficha nini?KWANI KUFANYA BAA AU HOTEL NI DHAMBI.HAYA MAFIKIRA NDO YANAFANYA WATU WAANZE KUCHAGUA KAZI. HIVI BAR INAINGAIZA AROUND MILLION 24 KWA MWEZI UNAWEZA SEMA KUWA HIYO NI SHUGHULI OVYO???
Kwanini afanye siri ata kwa jirani yake!KWANI KUFANYA BAA AU HOTEL NI DHAMBI.HAYA MAFIKIRA NDO YANAFANYA WATU WAANZE KUCHAGUA KAZI. HIVI BAR INAINGAIZA AROUND MILLION 24 KWA MWEZI UNAWEZA SEMA KUWA HIYO NI SHUGHULI OVYO???
Sasa hivi atanitaka tuuh...!Kwani anauza bar au bia ?
Kwani akiuza bia anakua sio mwanamke ?
vip angekua anajiuza mwenyewe ungesemaje ?
Vip angekua anakuomba hela je ?
Kama hakutaki hakutaki hata kama umejua kazi yake.
Kwani we huwa unawatamgazia jirani zako kazi unayofanya?Kwanini afanye siri ata kwa jirani yake!
Hapana huwa anafichaficha ningejua mapema mbona poah tu..! Sasa story za yeye na boss wake mbona huwa anasema!Kwani we huwa unawatamgazia jirani zako kazi unayofanya?
Nyie mnataka kujua ya nini? Mwache anataka privacy yake..Kwanini afanye siri ata kwa jirani yake!
Ndio! Wa Tanzania walevi sana.Watanzania wanakunywa sana kumbe
HahahaHajui Kama wauza bar ni wanawake wastaarabu tu kuliko hao customer care wa Vodacom. .