Ernst kipire
JF-Expert Member
- Dec 16, 2019
- 299
- 311
Muache kutongoza bibi zenu.
Saa ingine hadi nasema sijui niweke kope na nyeusi za mvi ndo waelewe kwamba mie ni kigagula...!!! [emoji848]
Uliza tu,sie mabaharia roho saf tuNawewe ukiulizwa kazi unayofanya usibadilishe sura
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muache kutongoza bibi zenu.
Saa ingine hadi nasema sijui niweke kope na nyeusi za mvi ndo waelewe kwamba mie ni kigagula...!!! [emoji848]
Amna ni wadada,we jarbu siku mojaUnatongoza wamama wa vicoba unakuja sema wadada...
Enhee hasa hao na dada zaoHasa hivy vinavyo faa mikoba midogo mgongon yaan ukikiiulz kinamind
Tafuta helaaa !!!Habari gani wana jamvi
Mie kama kijana kuna jambo kwa dada zetu kiukweli linashangaza sana......
Moja kwa moja kwenye mada!!!
Katika siku za hivi karibuni kuna kasumba imezuka kwa miongoni mwa dada zetu wengi na nahisi linaanza kuwa changamoto kwa upande wangu.
Leo dad zetu suala la kutaja umri limekuwa kipengele yani , ukimuuliza tu umri unaona kabisa anafadhaika na hata tabasamu linampotea,tatizo lipo wapi?.
Dad zangu mnachohofia nini kwani,kama wewe ni mkubwa sema tu siyo unaogopa ogopa,kama jamaa kakuelewa miaka siyo ishu.
Naomba kuwasilisha.
Hao hao ngoja tuunde tim ya uchunguzEnhee hasa hao na dada zao
Hela ipo.
Tafuta helaaa !!!
Umri ni muhimu ktk mahusiano yyt yale.......ukidate na mbibi je[emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3]
Umri wangu haukuhusu bwana
Umri namba tuUmri ni muhimu ktk mahusiano yyt yale.......ukidate na mbibi je[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji119][emoji119][emoji125]Umri namba tu
Kikubwa engine