ha ha ha ha mpige ngumi huyoAisee kuna mdada hata mimi nafanya naye kazi ofc moja ya mchina, yaani huyu ndio amegeuza ofc ni saloon!
Namuangalia jirani yangu hapa, ana pochi 2 moja kubwa kama bag, pembeni kuna sandal na mocas , mezani pembeni kabisa kuna kontena kapo empty mida hii ..akifungua hiyo pochi utacheka mwenyewe vinavyotoka humo ....sasa hivi napogongangonga keyboard yangu ndo kwanza katoa kitana kikubwa na mafuta flani yana harufu kali yupo busy na nywele zake amegeuza ofisi saloon ...ni uzuri unatafutwa au unarekebishwa?? mbona ni mzuri tuu
Kuna wale wadada wanaopaka vidude vyekundu mdomoni yani wananiboa pyuuuuuuufuu...
ha ha ha ha mpige ngumi huyo