Dada zetu Kulikoni....

Huyo sio mapenzi bali mshiko, unajua dada zetu huwa wanaangalia sana anapata kitu gani kwako. Mapenzi can be obtained from other sources..............................
 
ah! hapo kashapewa range rover afu akatae ili aende kuishi mabwepande?
 
Mkuu nani alikwambia kwa muafrica mzungu anazeeka?
 
poaaa 2 life linasongaaa...wadogo wanapigaa buk ma chuo,familia inaishi vizurii maisha ya kishuaa,babu akifaa dada anamiliki mirasii yani poaaa 2
 
ushamba na ulimbukeni tu umewajaa, wengi hawapendi kufanya kazi wanangojea vilochumwa tayari utadhan makinda ya njiwa
 
Adui mwombee njaaaaaaaaaa atakutii tu. Dada huyo ameolewaaaaaaaaaaaa japo na kibabu. Ila HUYU msela ndo kaniichanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…