Dada zetu jeshini Khaaa.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dada zetu jeshini Khaaa..

Discussion in 'Jamii Photos' started by ngoshwe, Apr 23, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  UTADHANI HAWAFANYI MAZOEZI...KATIKA MAUMBO HAYA WANAWAJIBIKA VIZURI KWELI?.
  [​IMG]


  Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais, Fatma Habib Fereji akimkabidhi cheti askari Polisi wa kike aliyemaliza mafunzo ya uongozi .

  (c) Michuzi
   
 2. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani imekuwaje?
   
 3. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  sijaona kitu kaka, sijui ni me mwenyewe!
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hawa ni viburudisho vya maafande kule jeshini so hawapati mikiki mikiki sana ndo maana muda wote wako mguu pande mguu rejeshaa.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,436
  Trophy Points: 280
  huyu akinikimbiza hanipati hata kama nitakuwa sijawahi kufanya mazoezi toka nizaliwe, labda ni viburudisho kama kigogo alivyodai
   
 6. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Sijui vigezo vinavyotumika kuwaajiri hawa watu ni nini? hapa hata "Udada/ukaka mavu" umepotea kabisa!!.
  Ni gharama kubwa kuwamudu kwa aina hii ya miili wanayojiachia kwa mavips...hawavaliani masuluali hawa!
   
 7. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acheni mfume dume jamani, mbona hata wanaume maafande wanene na vitambi sasa hao wadada wanakosa gani, fanya fujo uone kasi yake, ha ha ha!
   
 8. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160

  LOL,Akikukaba kabali huyo hutoki,waache walete mazereu lol
   
 9. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe mdada kama huo ole wako ufike kileleni wewe kabla yeye! khaa kwa hali hii! hakyanani sitongozi jeshi bora nipige puli kama nitakosa kaschana ka kawaida.
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Ina maaana we huijaiona hiyo picha?
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,436
  Trophy Points: 280
  hhahahhaha!!! hapa unawanyanyapaa dada zetu aisee
   
 12. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  kamanda hao inabidi waolewe na majeshi wenzao tu, wee unazani mdada mjeshi kama huo kuna dalili ya kulegezwa na raia? hapo utazama chumvini mpaka domo litavimba lakini mdada unakutumbulia mimacho tu haulegei kabisa yaani halaf unakulamba vibao kuonesha msisitizo, au katikati ya mchezo unaweza ukauona mdada unaimba wimbo wa taifa, hainogi yaani.
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  hahahahahahaha! Unamsingizia, daaaah, cpat picha wimbo wa taifa kati kati ya shughuli!...lol
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Aisee hii picha yako imefika huku lini lol
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Uliishawahi kupigwa roba na mjeshi??
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  si ndo hata mimi nimeshangaa, kuna jamaa alikuwa anatafuta mchumba, si nkatuma aplication? Nkaambatanisha na hiyo picha, sasa nashangaa leo naiona JF!
   
 17. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Msilete utani hao watun wako fit sana balaa,,,yaani usimuone hapo na tumbo anachange step kwa haraka na wako fit sana..wameiva mana ukikesha zile six week uraia unakutoka kabisa kwa hiyo hata ukimuona hapo amenenepa akifanya kitu kinaitwa refresher course mara moja anarudi kuwa ngangari kinoma....

  Ila kiukweli akina dada warembo majeshini wanatumika sana..
   
 18. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwani kuwa polisi ni kubeba mawe.

  Hapa Bongo wanawake wote lazima watapa miili kama hii kama hawabadili lishe zao hata kama wakifanya zoezi hawatapungua.
   
 19. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mnnnh huyo kazidi.....................
   
 20. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  proud African lol
   
Loading...