miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,417
- 10,973
Ila humu huwa kuna nyuzi za kitoto. Laiti tungekua tunaonana kwa real I'ds sidhan mama ujasiri wa kuandika haya ungekuwepo
Aah tuacheni na mileage zetu bana, kwanza hainaga makombo ikioshwa tu inakua mpyaa
Mambo mkuu!😂
Mambo mkuu!
Mhh.Aah tuacheni na mileage zetu bana, kwanza hainaga makombo ikioshwa tu inakua mpyaa
Swali la kikatili hili. Kitendo cha kuuliza hivi unawaumiza watu na kuwatweza.Dada zetu mseme ukweli hivi huwa unajiskiaje mwenzako anaolewa afu wewe huolewi?? Ulishawai kaa chini ukajiuliza why siolewi??
Unajiskiaje unaletewa card ya mwaliko afu ww miaka nenda rud unagegedwa tu huolewi
Unajiskiaje unahudhuria kwenye harusi za wenzako afu wew upo tu??? Huolewi
Au bado unaamini wakati wako wa kuolewa hujafika?? Ukiona una age 30+ na hujaolewa bhs jua kuna sehem unakosea na age hio possibility ya kuolewa ni ndogo sana.
JIMAPILI NJEMA.
Pia soma:Kwani lazima kuoana?
Vipi mkuuMhh.
Fresh mkuuVipi mkuu
Wapunguze vikwazo kwani ushindani unakaribia kupitaWanawake Wenye umri kuanzia miaka 28 -30 ambao Mpaka Sasa hawajaolewa wapewe course gani ili waweze kuolewa!?? Alisikika mlevi mmoja akiuliza swali
Hawa wanabaki kuzalishwa na vibaka tu, mwishowe wanakuwa kama Kajala na mwanawe kuchangia dushe huku wakibong'olea camera na kucheka.Dada zetu mseme ukweli hivi huwa unajiskiaje mwenzako anaolewa afu wewe huolewi?? Ulishawai kaa chini ukajiuliza why siolewi??
Unajiskiaje unaletewa card ya mwaliko afu ww miaka nenda rud unagegedwa tu huolewi
Unajiskiaje unahudhuria kwenye harusi za wenzako afu wew upo tu??? Huolewi
Au bado unaamini wakati wako wa kuolewa hujafika?? Ukiona una age 30+ na hujaolewa bhs jua kuna sehem unakosea na age hio possibility ya kuolewa ni ndogo sana.
JIMAPILI NJEMA.
Pia soma:Kwani lazima kuoana?
Kumbe eehAah tuacheni na mileage zetu bana, kwanza hainaga makombo ikioshwa tu inakua mpyaa😏😏
Ndiyo mkuu😒Kumbe eeh
Hawa wanabaki kuzalishwa na vibaka tu, mwishowe wanakuwa kama Kajala na mwanawe kuchangia dushe huku wakibong'olea camera na kucheka.
Nahisi kama unatuongepea vile.Vipi mkuu