Dada zetu, hii maana yake nini?

Hama kwenye chumba kimoja, manake huyo mwanamke hayuko organised. Unaweka pedi mezani na kutundika chupi nyuma ya mlango ili iweje? Hata juu ya dressing table chumbani sio mahali pa kuweka pedi!
 
Nawaogopa watu wenye hangover kwasababu comments zao nazo zinakua na mning'inio

Anyway naona wewe umeshapata supu

Karibu...

Asante mkuu,wanawake wa aina hii ni wanawake wasiojiamini, wanafanya hvyo kukutegeshea. wanahisi akija mwanamke mwingine utaziondoa hapo hapo anasahau chumba chenyewe kimoja.
 
Hama kwenye chumba kimoja, manake huyo mwanamke hayuko organised. Unaweka pedi mezani na kutundika chupi nyuma ya mlango ili iweje? Hata juu ya dressing table chumbani sio mahali pa kuweka pedi!

kabisaaaa! Hujakosea King'ast
 
Last edited by a moderator:
Hama kwenye chumba kimoja, manake huyo mwanamke hayuko organised. Unaweka pedi mezani na kutundika chupi nyuma ya mlango ili iweje? Hata juu ya dressing table chumbani sio mahali pa kuweka pedi!

Hahaha King'asti...

Kile chumba kimoja ulikua ni mfano tu

Mimi siishi kwenye chumba kimoja

Anyways nimeyapenda mawazo yako

But if that is the case, inaelekea mabinti wengi hawako organised manake wahanga wa hii case tuko wengi.
 
Asante mkuu,wanawake wa aina hii ni wanawake wasiojiamini, wanafanya hvyo kukutegeshea. wanahisi akija mwanamke mwingine utaziondoa hapo hapo anasahau chumba chenyewe kimoja.

Duh!!!

Majanga mkuu!

Sijui ni kwanini hawajiamini!
 
Huna jibu ina maana hujawahi kuacha?
 
Kuacha nguo mahali sio issue. Issue ni unaziachaje? Hata kwangu kuna wageni wanakuja wanasahau suruali ama khanga, inafuliwa na kuwekwa kabatini.

najua udaku wenu, mnadhani zinaachwa ili mfumaniwe? Siku hizi hata ukilinda ferry watu wanavua samaki bagamoyo. Mtu anaonekana na kitambi kabisa na pete kama bango la tigo na bado wajuba wanamega!
Hahaha King'asti...

Kile chumba kimoja ulikua ni mfano tu

Mimi siishi kwenye chumba kimoja

Anyways nimeyapenda mawazo yako

But if that is the case, inaelekea mabinti wengi hawako organised manake wahanga wa hii case tuko wengi.
 
Wamasai wanaume huwa wanaacha fimbo mlangoni ili mwenye mali akirudi ajue kuna mtu ndani hivyo kwa mabinti wenye tabia hiyo lengo ni hilohilo kwamba ukiingiza mtu mwingine huyo mtu aone hivyo vitu na kujua kuwa hapo si mahala pake kuna mwenzake!
 
Hahahaa

Umenichekesha sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…