Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,662
Tuassume una girlfriend wako ambaye ni mwanachuo/mfanyakazi, hivyo hamuishi pamoja yeye huja kukutembelea au kulala mara moja moja.
Wewe mwanaume ni mfanyakazi.
Kitu nashindwaga kuelewa:
Utakuta huyu bidada anaacha vitu vyake kama chu.pi, khanga, pedi, handbag n.k. Kuacha hivi vitu sio kesi, tatizo ni kwamba anaviweka sehemu ya kuonekana na akikuta umevihamisha kuviweka kwenye kabati anakua mkali kama mbogo aliyetoka kujeruhiwa!!!
Inakua mbaya zaidi kama mwanaume umepanga chumba kimoja, mgeni akiingia akakuta chup.i ya kike imetundikwa hadharani sijui ataondoka na picha gani! Au pedi iko mezani!! anaweza akadhani wewe ni SHEMALE!!
Ilinitokea mimi kipindi cha nyuma na leo imemtokea jamaa yangu.
Labda tuwaulize tu ninyi wadada, haka katabia maana yake nn? dada mmoja amenidokeza eti mnafanya hivi ili mwanamke mwingine akija kwangu ajue nina mpenzi! lakini bilashaka kunaweza kukawa na sababu nyingine...
Hebu tiririkeni
KAMA UMEAMKA NA HANGOVER USICOMMENT TAFADHALI, USIJE UKACHAFUA HALI YA HEWA.