Dada zetu hii inawahusu

Ujumbe murua sana huu na ukichukulia miaka inavyokimbia siku hizi..kutoka 25yrs to 40 yrs na kama kufumba macho na kufungua tu..
 
Huwa wanalewa na mambo ya dunia mwisho wanaambulia hayo !
 
tunauza ice cream....
.bidada akikaribia kugusa miaka 45 yani fifty anaiona ileee baba ataenda kubandika tangazo getini "oa dada upewe na mdogo wake bureee"
 
tunauza ice cream....
.bidada akikaribia kugusa miaka 45 yani fifty anaiona ileee baba ataenda kubandika tangazo getini "oa dada upewe na mdogo wake bureee"

Ha ha haaah. Bidada wewe ushaolewa au bado? Nataka kutia nia...
 
Hii ni kweli kabisa maana mtaani kwetu nilikuaga nampendaga dada mmoja kilichokuja tokea akapewaga mimba mwish wa siku kaolewa baada ya miaka miwili nilipomuona alikuwa kachoka sana mpaka nikamsalimiaga sasa nachokishangaa ni kwa nini alikuaga anaringa sana but cha muhimu sisi binadamu wasikate tamaa maana kukata tamaa ni dhambi kubwa na utakufa maskini tu... wasikate tamaa kila mtu anajanga lake siku likikufika we pambana nalo mpaka mwisho never give up
 
Nakushukuru mleta uzi. Naweza nikapata ka - bi mdogo hapa [emoji120] [emoji60]
 
Da jamaaa unenikuna na ujumbe maridhawa sms imewafikia walengwa sisi ni obsevers
 
Kipindi Wema anachukua u miss Tanzania idriss alikuwa darasa la 5
 
tunauza ice cream....
.bidada akikaribia kugusa miaka 45 yani fifty anaiona ileee baba ataenda kubandika tangazo getini "oa dada upewe na mdogo wake bureee"
Duuh kumbe nawe umo?ingawa hauvumi?
 
Ma yahoo mpooo,tena kwakujifanya wajuaji hawajambo,wanajikuta makuungwi kila kitu kwenye mapenzi wanakijua
 
Kipindi Wolper anaanza kuigiza Harmonize Alikuwa vidudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…