Dada zetu bwana...!

father-xmas

JF-Expert Member
Mar 23, 2010
835
642
1.jpg

hivi dada zangu msipojipaka hiyo "milupostick" huko midomoni mnadhani hatutawapenda............?
why painting urself like a clown...............?why..............?
au mpake zile lipshine za kungarisha tu lkn sio kujijaza mitakataka usoni utazani clown...............!
nawaoneaa huruma yaani unakuta demu kajipaka mirangi mingiiii utadhani mwenzie kamwambia "paka nyingi ukija unipunguzie"...............!
halafu unakuta kajipaka kama hivi halafu anakutizama kwa nyodo na mapozi huku anakukunjia mdomo kwa dharau aaah utachoka mwenyewe!
pakeni kwa kiasi...............!sawa eeeh..........!
 
Hahha hahha wewe father xmass umefata nn kwa Shamimu jamn??? halafu sio wote tunajipaka hayo madude mie binafsi siyapendi kweli!!:becky::becky::becky:
 
Mkuu, nakushauri uitoe tu hii picha! Unamdhalilisha huyu dada wa watu. Haina tofauti na kumvunjia heshima member! Kwani huyo dada amekuomba umtazame hizo sijui lipstick zake? Unaweza kuacha content lakini toa picha!
 
As you look at her, know that you are looking at the 7th layer of mpododu on her face.
 
mkuu picha hii umeichukuwaa kwa ridhaa yake..? JF isije ikawa kama kipindi cha zeutamu!.. kuibia picha toka hi5,fcbk.. unaleta ijadiliwe?.. nafkiri malezo yangetosha bila picha! i hope sio mtanzania huyu dada..
BTW YUPO BOMBA!
 
Nimeipenda hii!
 
unajua mkuu picha inapokuwa mtandaoni iko huru kwa kila mtu....................!
nadhani zilizoko salama ni zile zilizoko ktk album zetu kule nyumbani lkn ukishakubali kuiweka mtandaoni basi uwe tayari kwa yote...............!
mbona tunaweka mpaka za rais na mamiss huwa tunawomba hiyari yao au tunacopy na kuja kupaste kamanda..........................!
mi cjui ni mbongo au mnugu lkn nimeona picha inafaa kusukumia jumbe wangu.....................!
 
1.jpg

hivi dada zangu msipojipaka hiyo "milupostick" huko midomoni mnadhani hatutawapenda............?
why painting urself like a clown...............?why..............?
au mpake zile lipshine za kungarisha tu lkn sio kujijaza mitakataka usoni utazani clown...............!
nawaoneaa huruma yaani unakuta demu kajipaka mirangi mingiiii utadhani mwenzie kamwambia "paka nyingi ukija unipunguzie"...............!
halafu unakuta kajipaka kama hivi halafu anakutizama kwa nyodo na mapozi huku anakukunjia mdomo kwa dharau aaah utachoka mwenyewe!
pakeni kwa kiasi...............!sawa eeeh..........!
Tembea uone, yaani huyo dada mbona kapendeza tu!!!!!!!!, hiyo ndiyo maana ya kuwa huru! Usipende kufuatilia mambo ya watu, kwani hata akiwa hivyo wewe inakuuma nini??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Jamani akina dada hivi lazima nywele za bandia? (general question to all them dadas out there)
 
Viwanda vya mawigi, malipstick, mabangili, saluni nk vitahujumiwa iwapo manjonjo kama hayo yatapungua. Akina dada wa hivi wanaongeza ajira jamani. Tuwaunge mkono badala ya kuwabeza.
 
1.jpg

hivi dada zangu msipojipaka hiyo "milupostick" huko midomoni mnadhani hatutawapenda............?
why painting urself like a clown...............?why..............?
au mpake zile lipshine za kungarisha tu lkn sio kujijaza mitakataka usoni utazani clown...............!
nawaoneaa huruma yaani unakuta demu kajipaka mirangi mingiiii utadhani mwenzie kamwambia "paka nyingi ukija unipunguzie"...............!
halafu unakuta kajipaka kama hivi halafu anakutizama kwa nyodo na mapozi huku anakukunjia mdomo kwa dharau aaah utachoka mwenyewe!
pakeni kwa kiasi...............!sawa eeeh..........!

Wenye wivu wajinyonge!
Mbona kapendeza sana, na ni mbunifu sana huyu binti.
Nywele hata kama ni bandia ni ok
Nyusi ndo usiseme na eye shades are good
Rangi ya ngozi usoni na shingoni na mkononi zinalingana
Mdomo lipstick pete na nguo na bangili zinalingana
Usanii unapendeza sana huo na pose yake imenimaliza!!
Ningekuwepo karibu ninge-propose kumuwowa!
 
huo mstari tu hapo juu............:smile-big:
 
Back
Top Bottom