ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,906
- 6,909
Siku moja dingi alinikalisha chini a kuanza kunipa somo. Akaniambia, nikitaka kuoa, nimjulishe. Lkn alinionya nisiende uchagani, nilipoylizwa why? Akasema, kuna mha wa kwanza kupata doctorate, alioa uchagani na alifanya kazi kama mkuu wa mkoa k'njaro. Aliuwawa kwa sumu eti watoto wasijekujua kuwa ni waha. Hadi leo hawakuwah kwenda buha. Ktk ptapta zangu, hasa chuon, kuepuka kuingia mikononi mwa mchaga, ngum sana, ila nilipona japo kwa mbinde, kwa sasa niko na wife toka kwa kina Pinda