Dada zangu wa kichaga jisafisheni kimapenzi maana sehemu kubwa ya jamii inawaogopa kimapenzi

Hizo zilikua hadisi sa kusadikika.kisa cha wamachame kuonekana hawaishi na wanaume sio kama wanawauwa .huko nyuma kulikuwa na vita kati ya wakibosho na wamacheme .wakibosho wakawadanganya. Wamachame njooni tuzungumze tupatane kumbe wakibosho walikuwa wamechimba shimo kubwa juu wakaweka nyasi na udongo walipokuja wanaume wa kimachame wakaandaliwa mbege juu. Ya lili shimo walipo. Kaa wakibosho wafetua ile miti kule ndani ya shimo wamachame waka tumbukia wote wakauwawa na hata wale walio jaribu kukimbia waliuwawa wote.hivyo familia nyingi ziliisha pasipo kuwa na baba .hicho ndicho chanzo cha wamachame kuonekana kuwa wanauwa wanaume.
 
Tukisema kuwa wamachane hawafai,basi tukubali the fact kwamba WAAFRIKA TUNA LAANA kama tulivyoaminishwa na kila siku kuvisoma vitu hivyo katika vitabu vya dini!Kusema wamachame ni wauaji ni sawa na kukubali kuwa hiyo ni moja ya laana tuliyokuwa nayo waafrika.Tunaweza tukasema kuoa Afrka Kusini ni kujitafutia kifo kwa kuwa hao watu wa Afrika kusini ni wabaguzi kwa waafrika wenzao kama tulivyoshudia mauaji yaliyofanywa kipindi kile,lakini hata wao wenyewe wakikaa wanaona kuna kabila ambalo lina roho ya ukatili kama leo hii tunavyowasema wamachame na kusahau kuwa wote wana roho hiyo hiyo moja haswa linapokuja suala la utaifa.
Mazingira anayokulia mtoto na malezi ndio hum-shape mtoto huyo kuwa na tabia fulani na sio kabila! "OVER"
 
mie nawaogopa wahaya tu Tz
cc Lisa .........

Hahahahaahahaahaaaa!!!!!! Hakuna wanawake wazuri kwa figure, watamu na wanaojua ku Do, kucare, kufanya familia ikawa juu kwa elimu na maendeleo kama wahaya, chezeya wahaya wewe, Ngoja siku mmoja nikupe mmoja kwa kukutake care for a minute u will tell me!!
 
Hizo zilikua hadisi sa kusadikika.kisa cha wamachame kuonekana hawaishi na wanaume sio kama wanawauwa .huko nyuma kulikuwa na vita kati ya wakibosho na wamacheme .wakibosho wakawadanganya. Wamachame njooni tuzungumze tupatane kumbe wakibosho walikuwa wamechimba shimo kubwa juu wakaweka nyasi na udongo walipokuja wanaume wa kimachame wakaandaliwa mbege juu. Ya lili shimo walipo. Kaa wakibosho wafetua ile miti kule ndani ya shimo wamachame waka tumbukia wote wakauwawa na hata wale walio jaribu kukimbia waliuwawa wote.hivyo familia nyingi ziliisha pasipo kuwa na baba .hicho ndicho chanzo cha wamachame kuonekana kuwa wanauwa wanaume.

Acha hadithi za kusadikika wewe!
 
Hahahahaahahaahaaaa!!!!!! Hakuna wanawake wazuri kwa figure, watamu na wanaojua ku Do, kucare, kufanya familia ikawa juu kwa elimu na maendeleo kama wahaya, chezeya wahaya wewe, Ngoja siku mmoja nikupe mmoja kwa kukutake care for a minute u will tell me!!

Wazuri kwa figure? huenda una maanisha kitu kingine
 
Sometimes tabia ya mtu haiingilian kabila coz dunia ynyw imeshakuwa kijiji tabia mbovu ipo kila kona.
 
Hahahahaahahaahaaaa!!!!!! Hakuna wanawake wazuri kwa figure, watamu na wanaojua ku Do, kucare, kufanya familia ikawa juu kwa elimu na maendeleo kama wahaya, chezeya wahaya wewe, Ngoja siku mmoja nikupe mmoja kwa kukutake care for a minute u will tell me!!

Ila uwe mvumilivu kutambulishwa wajomba na makaka binamu kumbe wote mnakula mzigo mmoja.
 
i love to be chagga naamini kila binadamu ni mnyama its just a matter of time and what cause thay to happen.
 
Ila uwe mvumilivu kutambulishwa wajomba na makaka binamu kumbe wote mnakula mzigo mmoja.

Mademu karibu wengi wa TZ kama hana hofu ya Mungu anagawa tu...song zako tu.... Warangi je? wanyiramba? Hata wachaga kama una chapaa unagonga tu.....
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mademu wa kichagga na kipare ni kukanyaga tu na kuwala tigo ila kuoa, hapana....kudadadeki labda nilazimishwe kwa ndoa ya mkeka, hawafai hata kidogo. Hata kama atatokea muumini wa dini kiasi gani nawaona wasanii tu kwani mwisho wa siku ndugu watakukuta umekauka kitandani na hata kuugua ulikuwa haugui au la atakukodia wakenya waje kuku-ulimboka.
 
Hilo la kwanza.......la pili ana hela.......? Hatuolewi na wanaume sarawili sisi.......

Inaeleweka hiyo...mnataka wanaume wenye pes ili mwisho wa siku muwaue mtembee a kaka zenu. Hell NO to a chagga lady, ni kuchapa tu na kuwakojolea basi, nothing more.
 
Hi!

Ukipata mchumba hasa mmachame wanafamilia wanakuwa wagumu kubariki mahusiano yenu.Hii imetokana na baadhi ya jamii kutendwa baada ya kuoa wachaga.Lakini naamini kuna baadhi ya dada zangu wa kichaga ni wema kabisa na wanamtegemea Mungu na upendo wao unaweza kufuta mabaya yaliyojengeka ktk jamii zetu kwa vizazi vilivyopita.

Hapo awali wanaume wa kikurya walikuwa wanaogopwa na mabinti wengi sana kwa sababu ya kutoa kichapo lakini siku hizi baada ya jamii kuona baadhi ya wadada wameolewa na watu hao na wamepewa mapenzi ya dhati jamii imewakubali.Leo hii ukipata mchumba wa kikurya halafu ukampeleka nyumbani anakubalika.

Hivyo dada zangu jisafisheni kufuta mfumo dume uliojengeka ktk jamii pia mnaweza kutujuza tatizo liko wapi mpaka jamii inaogopa?

Wanawake wa kimachame ni janga la taifa. Hawa watu. Hawana huruma hata chembe na akili yao ni wao kumiliki mali na watafanya hivyo hata kwa njia Za mauaji. Na kwao ni ufahari kwa mwanamke kumuua mumewe na kumiliki mali.
 
mtoa mada umenikumbusha mbali sana, nilipo amua kuoa nilimwambia babaangu juu ya kupata mchumba wa kichaga kitu cha kirombo,akaniuliza umepata mtu wa wapi? nikamwambia chaga akasema tafadhari huo sio ukoo wa kuoa, kweli nilipingana nae nasasa nipo nae na nina mshukuru mungu maisha n mazuri hakuna mfano, ukweli hawawatu sio wale wa kizamani wa sasa kama wakitanga.
 
Wachagga wanawezana wenyewe kwa wenyewe.
Ukiwa na mali tu lazima uache watoto duniani. Mara nyingi wanaume ndo wanatangulia mbele ya haki.
Labda uoe mchagga aliyechanganya kabila asiwe Pure.

Wakati niko chuoni kuna jamaa mmoja aliniambiaga ukioa mchagga utakufa upesi na stress pamoja na uchovu maana utakuwa haulali usingizi usiku kwa sababu ya kuacha jicho moja wazi ili wife (mchagga) asikuchinje, then mwisho wa siku unajikuta umechoka taaban kwa kutolala kisawasawa dhidi ya uwoga kwa mkeo. Akaniambia kuna koo kabisa za kichagga kule uchagani wazee na kina kaka wanatafutia dada zao wanaume wenye pesa ili wawatumie na kuwaua mwisho wa siku ukoo uendelee kuwa juu. Pumbaf, No to chagga ladies. Tukutane coco beach nyuma ya magari tu ama vichakani ila si guest wala nyumbani kwangu maana sitaki waniletee kaka zao waje kunichinja ili wanifirisi kujitajirisha wao wenyewe.
 
Back
Top Bottom