Dada zangu punguzeni machaguo, muolewe...

Hawa wanawake hawajuagi wanachokitaka ni kitu gani maishani...kuwaelewa inahitaji uishi miaka mingi zaidi ya idadi ya nywele zako..
 
Kaka, naomba nikuulize, haya maneno utatamani kuja mwambia binti yako umpendae kuwa it's okay atembee na kuwa na mahusiano na watu mbali mbali bila sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka, naomba nikuulize, haya maneno utatamani kuja mwambia binti yako umpendae kuwa it's okay atembee na kuwa na mahusiano na watu mbali mbali bila sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani binti yangu nitamwambia tofauti? Unataka aingie kwenye ndoa na mtu ili mradi afurahishe dunia? Ndoa sio kitu cha mchezo mchezo mama, unatakiwa kujitoa hasa...wengi wanashindwa na wanawaachia wenzao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…