julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Jamani wathirika wakubwa wa social media ni wabidada! unajua nini leo nilipanda daladala nikakaa seat ya nyuma mbele yangu kuna mzee misiri ya Mh. wsr anachat na mrembo whatsup anamrushia verse na mdada karibu nyingi kama anampata vile mzee wa watu, mwisho wasiku kamkubalia jamaa!
Mnapaswa kubadilika jamani be serious mzee si tu waajabu anadandia daladala na akina j.mahinya wenye miaka 20 na kitu huku yeye ni misiri ya Mugabe huenda hata bimkubwa huko home hajala zee lina ipad linachat na warembo macho juu kwenye daladala wanapeana promises! Heshimuni ndoa za watu wenye umri wa baba na babu zenu mabidada duh!!!