Applicant
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 1,962
- 1,757
- Thread starter
- #21
Nitajua nadili nae vpYaan after 2 days Angekuja na request umtoe laki tano kapata shoti ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajua nadili nae vpYaan after 2 days Angekuja na request umtoe laki tano kapata shoti ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Heading-pesa sio kila kitu. Conclusion- pesa ni kila kitu.
Anyway, pesa sio kila kitu kama una pesa. Ngoja kwanza tuzitafute tuprove maneno yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuuItoe pesa kwenye mahusiano na utagundua kwamba 90% ya wanawake hawataona sababu ya kuwa kwenye hayo mahusiano.
Toa ngono kwenye mahusiano na utagundua kwamba 90% ya wanawake hawana kingine cha kutoa kwenye mahusiano.
Mfumo Wa kibepari ndipo ulipotufikisha hapa, tuishi nao kwa akili.
Umeongea bonge la pointItoe pesa kwenye mahusiano na utagundua kwamba 90% ya wanawake hawataona sababu ya kuwa kwenye hayo mahusiano.
Toa ngono kwenye mahusiano na utagundua kwamba 90% ya wanawake hawana kingine cha kutoa kwenye mahusiano.
Mfumo Wa kibepari ndipo ulipotufikisha hapa, tuishi nao kwa akili.
Inawezekna kaona kule nina kiasi gani ndo maana kapagawakwani huyo cashier anashindwa kuangalia salio lako?
SafiNmefika katikati nikarud kuchek kama ni kidukulilo.nilikuwa nishaipuuza stori nzima