Wewe hujui maana ya uhuniSasa nyinyi mnaojiita masharobaro kazi yenu ni kuagiza chipsi mdebwedo zenye mayonaizi nyingi pale Kwa Mayweather chipsi ..kuvaa nguo za kike,kuweka breach kichwani na kulamba lipsi km paka aliyepigwa mwiko mdomoni..kitandani hamna maajabu yoyote zaidi ya kimoko chali
Upande wa pili watoto wa kihuni hawanaga mambo mengi wao wanafocus kwenye kupeleka Moto Tu Hadi mtoto anakimbilia kujibana ukutani Kwa nn wasishobokewe?
Kuna demu mtaani ana mabwana watatu;mmoja ni Hb sharobaro wa kuuza nae Sura kwenye mitoko ya Cheka Tu mlimani city na kidimbwi beach,wa pili ni sponsor wa kutoa mitonyo na watatu ndy huyo uliyemuanzishia uzi_muhuni mmoja hivi ana kovu la wembe upande wa kushoto wa shavu.. Mzee wa kufanikisha mission mzima ya kitandani iliyowashinda hao wawili
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Unamaanisha masela ?!!!Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki?
Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana yaani ghetto kwake mezani amepanga sigara.
Halafu kuna siku alimleta demu akampiga baadae aakaanza kuvuta sigara mbele ya demu lakini demu mkali akawa anacheka cheka hadi leo kamganda jamaa,
Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?
Ww jinsia ya ke?Kuna kaka mmoja wenzie wanamwambia ameokota dodo kwenye mwarobaini na mimi huwa naambiwa nimerogwa sio bure. Kwanza anavuta majani ile mbaya, kipato chake anaaford kula kwa siku kutokana na kazi yake. Lakini ndio nimekufa nimeoza kila mtu anatamani kujua sababu ila hata mimi sijui.
Kuvuta bangi na sigaraHata kuwa na wanawake wengi na kubadilisha wanawake ni uhuni pia sasa sijajua kwa wewe uhuni kwako una maanisha categoriez zipi exactly..
Hold on ..Kuna mambo mawili hapo,usimlishe mleta mada maneno ambayo hajazungumza mkuuWewe hujui maana ya uhuni
Mtu muhuni haijalishi ni sharobaro au mtu smart
Mtu muhuni anaemaanisha mleta mada ni yule mtu ambae hatulii na mwanamke moja,. Muhuni anaweza akawa yuko vzr kitandan au asiwe vizuri
Hapana mkuu....hayo ni mambo ya huko ndani....wanaofahamu ukweli ni hao wawili wapendanao....si masela wote wako hivyo....si wote.....wengine wana imani za kirasta mkuu wangu.....demuwako ukimwona nahaojamaa ujueanapelekwa kwampalange asilimiakubwa ilasiowote
Nani kakuambia kuvuta bangi na sigara ni uhuni ?!!!Kuvuta bangi na sigara
He is a really man....an african dude who ain't faking life.....Kuna kaka mmoja wenzie wanamwambia ameokota dodo kwenye mwarobaini na mimi huwa naambiwa nimerogwa sio bure. Kwanza anavuta majani ile mbaya, kipato chake anaaford kula kwa siku kutokana na kazi yake. Lakini ndio nimekufa nimeoza kila mtu anatamani kujua sababu ila hata mimi sijui.
Cc ExtrovertUnamaanisha masela ?!!!
Kama ndivyo nianze kukujuza kuwa usela si uhalifu......usela si kuvuta ganja hadharani....usela si kuivunjia heshima jamii na watu wake ....usela si kutowajibika.....usela sio kutokuwa na utu ,haya na soni.....
Usela ni imani.....
Msela anajitambua.....
Msela hasujudii na kuwaogopa watu......
Msela hazingui wengine na mwiko kuzinguliwa......
Msela hapendi kuonea wengine.....
Katu msela hakubali kuonewa.....na yeyote yule....narudia tena katu hakubali hakubali hakubali KUONEWA.......
Msela ni mtu wa mazoezi ,torati ya kitaa inamtaka msela awe anajua sanaa za mapigano....kukichafuka huweza kujilinda na kumlinda mpenzi wake dhidi ya WAGAIGAI hata 10.......
Msela anajithamini na kujipenda Sana....Sana....mno.....
Kwa kuwa msela ANAJIPENDA basi ana hulka ya kupenda wengine kiukweli......
Msela ni ALPHA MALE na si BETA MALE.....
Msela si mtumwa wa mapenzi na hamsujudii mwanamke......
Hakika mademu WANAWAPENDA MASELA KWANI WAO SI SUBMISSIVES.....
Salaam zimfikie mwanangu EXTROVERT baharia wake NISHANYONGEA katika "zigi" jicho liko wima hapa JF.......
USELA NI IMANI KUBWA NA LANGO LA TORATI YA MITAA
#Yetzer ha-tov
#Shavua Tov
Kwenye jamii zetu za kiafrika kosa vyote sio pesa, utaonekana kibaka tu kama sio umerukwa na akili ..
Masela wote peponi!Unamaanisha masela ?!!!
Kama ndivyo nianze kukujuza kuwa usela si uhalifu......usela si kuvuta ganja hadharani....usela si kuivunjia heshima jamii na watu wake ....usela si kutowajibika.....usela sio kutokuwa na utu ,haya na soni.....
Usela ni imani.....
Msela anajitambua.....
Msela hasujudii na kuwaogopa watu......
Msela hazingui wengine na mwiko kuzinguliwa......
Msela hapendi kuonea wengine.....
Katu msela hakubali kuonewa.....na yeyote yule....narudia tena katu hakubali hakubali hakubali KUONEWA.......
Msela ni mtu wa mazoezi ,torati ya kitaa inamtaka msela awe anajua sanaa za mapigano....kukichafuka huweza kujilinda na kumlinda mpenzi wake dhidi ya WAGAIGAI hata 10.......
Msela anajithamini na kujipenda Sana....Sana....mno.....
Kwa kuwa msela ANAJIPENDA basi ana hulka ya kupenda wengine kiukweli......
Msela ni ALPHA MALE na si BETA MALE.....
Msela si mtumwa wa mapenzi na hamsujudii mwanamke......
Hakika mademu WANAWAPENDA MASELA KWANI WAO SI SUBMISSIVES.....
Salaam zimfikie mwanangu EXTROVERT baharia wake NISHANYONGEA katika "zigi" jicho liko wima hapa JF.......
USELA NI IMANI KUBWA NA LANGO LA TORATI YA MITAA
#Yetzer ha-tov
#Shavua Tov
Traditionally uhuni una maana hio ila in a modern definition uhuni ni hali ya kuwa “disminder”Ni kitendo cha kufanya vitu un acceptable kwa jamii inayokuzunguka
Kabisa mkuu ni shidaa ..Wanasema ukiwa huna Hela jitahidi uwe mnene ukishindwa na hapo fanya uwe mrefu zaidi ya hapo ni utapelii tuu
Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki?
Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana yaani ghetto kwake mezani amepanga sigara.
Halafu kuna siku alimleta demu akampiga baadae aakaanza kuvuta sigara mbele ya demu lakini demu mkali akawa anacheka cheka hadi leo kamganda jamaa,
Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?
Huwa mnapenda originality ya maisha... Mwanaume akikuhit na maisha halisi lazma utamuelewa sana, sababu wanawake wengi mnaishi katika imaginary worlds. Mwanaume ambaye anakuleta katika real world bila aibu na kukufanya uishi uhalisia comfortably wengi huwa mnazimika nao!Kuna kaka mmoja wenzie wanamwambia ameokota dodo kwenye mwarobaini na mimi huwa naambiwa nimerogwa sio bure. Kwanza anavuta majani ile mbaya, kipato chake anaaford kula kwa siku kutokana na kazi yake. Lakini ndio nimekufa nimeoza kila mtu anatamani kujua sababu ila hata mimi sijui.