Dada zangu kuna ukweli hapaaaa

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,220
1,225
Habari wanajamii forum
Hii kitu nimeikuta sehemu fulani nikaona sio mbaya nikashea na wadau

Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao:

1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao

2. Wasichana warefu huwa hawawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui kubembeleza hata kdogo.

3. Wasichana wenye DIMPOZ,MWANYA,MATEGE MBINUKO,MAHIPS NA KITEMBE,hawa huongoza kwa kutokuwa WAAMINIFU katika mapenzi.

4. Wasichana WANENE huongoza kwa MAPENZI YA KWELI yaani akipenda amependa kweli.

5. Wasichana WEMBAMBA hawa huwa ni WABISHI sana na hawa wanaongoza kwa kutendwa!.

6. Wasichana wenye NGOZI NYEUSI wanaongoza kwa KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe.

7. Wasichana weupe wakiongoza kwa kuzalia nyumbani, na hawa weupe weng wao
huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda kuolewa na waarabu kulko wanaume weusi.

Huu ni utabiri au utafiti? Ila mengi ni kweli.
 
1. Sijui.
2. Kweli.
3.kweli.
4. Vinganganizi.
5.Kweli
6. Sijui.
7. Sijui.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom