Hahahahaaaaaaaaaaaaa
Wewe ndo huyu??? Maana nashindwa kuelewa mwanaume afu awe mrembo.... Kazi ipo hapo...
seriously....we need museven in our country
Tunaomba picha yake tafadhali, huyu jamaa haeleweki.
sikudanganyi kabisa!! nilimkuta akimpa za uso mkuu watu8 kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko kwenye thread yake ya magari ya sumaye yaliyobeba pembe za ndovu..!!hahah acha utan bn
sikudanganyi kabisa!! nilimkuta akimpa za uso mkuu watu8 kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko kwenye thread yake ya magari ya sumaye yaliyobeba pembe za ndovu..!!
kulaleki, nikajifanya msuluhishi paleeee, mtoto mzuri aminata mrembo akapoa!!
baadae nikamwendea PM nikatia vokal kali sana!!.. mpaka leo hajajibu!!!

uache tabia yako dume lile