Dada zangu jieleweni

Nikiangalia akili za vijana wenzangu mnaisi leo na si kesho ni tatizo

sio kweli huo mfumo dume huo ndio unasababisha njemba zi withdraw....
Itakuwa vema sana kama ukausoma msimamo wa mwenza wako mapema ili ujue namna ya kukabiliana na mgawanyo wa majukumu
 
sio kweli huo mfumo dume huo ndio unasababisha njemba zi withdraw....
Itakuwa vema sana kama ukausoma msimamo wa mwenza wako mapema ili ujue namna ya kukabiliana na mgawanyo wa majukumu

amna ni kutokuona mbali
 
aya bwana utakuwa unanipa sh ngapi kwa siku? mimi nataka niishi maisha mazuri na uwe unatafuta hela bila kuridhika

shilling ngapi tena!, lol..
Mie nakuharibu, shopping za nguvu popote baby, gari unalotaka coz tutazitafuta pamoja...teh!!
...lakini usidikirie Sana maswala ya pesa, okey??? Itakuja tu honey wangu wa kichagga.
 
mma kalumbu tukugila itoro. Bhurebhure gwegigwe ugwe pamo ulinkenja? Nalondaga ukhulondela unyambala

Ubhukenja mbungo???gwa fiki une unyambala??linga undondile unyambala anguja pakunkoma na mapi!!
 
shilling ngapi tena!, lol..
Mie nakuharibu, shopping za nguvu popote baby, gari unalotaka coz tutazitafuta pamoja...teh!!
...lakini usidikirie Sana maswala ya pesa, okey??? Itakuja tu honey wangu wa kichagga.

Hiyo gari labda ya biashara lakin gari ndogo inayotaka kutumia hela yangu tena nitaiuza
 
Ubhukenja mbungo???gwa fiki une unyambala??linga undondile unyambala anguja pakunkoma na mapi!!

chobha! chobha! Gwemma ukwegigwa ugwe ukigana ukuti tulye ifyuma? Gwee! Gweee! Egigwa na ngorwa na nungwe
 
hakyanani we noumer!!!!

Ha ha ha sasa we unataka kunipa kivitz alafu kianze kula mafuta kwa kurimia hela yangu aisee nipe gari ya biashara izae gari ndogo iwe ina wanywesha wote aiii usinibambikize kibarua mie sitaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…