The Messenger
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,523
- 813
Utakuwa umejambwa wewe si bure
Mwandile amahelu???ngwisa lulu une....
unaweza ukawa mkubwa umri ila akil zisikutoshe.... Sikutegemea kwamba na huku ''home of great thinker'' kuna vilazaa
..... miss chagga, mbona hivyo bhana..! unakuwa na wasiwasi wa maisha sana eeh, tukiwa wote wala usijali mambo yatakuwa fresh tuha ha ha kama utakuwa na maisha ya kesho na si leo ... kama ni hivyo unaweza nipata
ukisiliza prise power usiku kipindicha faraja time ni vilio tupu kwa wadada wanaombeleza wanasahau walitumia vibaya uteen wao but pia wakumbuke unataka kuolewa lazima ujichanganye mnaojifanya kusubiri makanisani mtakesha maana kule competion ni kubwa demand ni kubwa supply kidogo, kwa mjanja kamata wako mtaani umpeleke kanisani yaani hapo mungu anatoa full blessing&upako. saved girls wake up!!!!&
Unaweza ukawa MKUBWA umri ila akil zisikutoshe.... Sikutegemea kwamba na huku ''HOME OF GREAT THINKER'' kuna vilazaa
hakuna mwanaume anayejitambua, then akatafuta mke wa maisha viwanja, wala mungu habariki huo upuuzi wa kungonoana kwanza halafu ndo mfikirie ndoa. Ndo maana ndoa za siku hizi hazidum zaidi ya miaka mitatu, kwa sababu waoaji na waolewaji wanaokotana club etc..etc. Tafakari upya mtazamo wako.
Wik ijayo zamu yen mjiandae...na mnataka matusi tu ili mseme wanawake wa jf makah.aba ndio maana mwatuchokonoa
plz may u let me know nini umemanisha hapa...!
..... miss chagga, mbona hivyo bhana..! unakuwa na wasiwasi wa maisha sana eeh, tukiwa wote wala usijali mambo yatakuwa fresh tu
nianze na wewe hapo juu umemaanisha nn??
wapi tena it might be bettet if you could quote me!
hujapaona???.....
yaah! $paoni
nyoooooo tena nawaambia waongeze waowaji wenyewe hawajielewi kabisa ... tena waringe kabisa
Ok......uwe na mchana mwema
U2! naomba nikumiss km hautojali.