hii wiki mbona dada zetu wameandamwa sana aisee
ukisiliza prise power usiku kipindicha faraja time ni vilio tupu kwa wadada wanaombeleza wanasahau walitumia vibaya uteen wao but pia wakumbuke unataka kuolewa lazima ujichanganye mnaojifanya kusubiri makanisani mtakesha maana kule competion ni kubwa demand ni kubwa supply kidogo, kwa mjanja kamata wako mtaani umpeleke kanisani yaani hapo mungu anatoa full blessing&upako. saved girls wake up!!!!&
Kama sisi wanaume tungelikuwa tunaeleweka basi hata hao wanawake wasingelichanganyikiwa kiasi hicho
wewe umefanya hivyo!!!!
demand ya boyz ni kubwa makanisani make saved man ni wachache compared wth those girls.
Iwafikie wasichana wote wenye nyodo
Iwafikie wasichana wote wenye nyodo
Iwafikie wasichana wote wenye nyodo
The principle is simple:
18 years old - Mimi Mdogo.
20 years old - Nipo Chuo na busy, niache.
23 years old - you are not my type.
24 years old - Hawa wanaume wa hapa chuo wanahangaika tu na first year, shauri yao.
25 years old - Upo Kazini, watu kazini hawaowi hata siku moja ... michepuko tu.
27 years old - Mbona hawanisemeshi, wananidharau.
30 years old - wanaume hawana maana, bora tu nijizalie.
35 years old - Baba wa mtoto yuko wapi? hata simjui, ukichunguza alikuwa anauza kibanda cha chips,
USHAURI - UKIONA UNAPENDWA JARIBU KUPENDA ILA KUWA MWANGALIFU.
hii wiki mbona dada zetu wameandamwa sana aisee
naona wanataka kutulazimisha kuolewa hapa haipo
tulia ww nani analazimisha kuolewa?
Sisi tunafunua na kufunika hyo ndo habar ya mjini
tulia ww nani analazimisha kuolewa?
Sisi tunafunua na kufunika hyo ndo habar ya mjini
Bangi... we ndo ujielewi