Dada yangu muogope Mungu heshimu mwili wako

Dada yangu muogope Mungu heshimu mwili wako

Akina Demi,Even salt na wengine,ninao uhakika wameuona huu uzi,ila wameupita kama vile haeajauona,yawezekana wakajikakamua baadae kuchangia ili kujibaraguza,humu wadada wengi ndiyo maisha yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila uzi ni wa kuchangia. Mimi ni mama na sio msichana. Mengi yalioongelewa hapo yanahusu wasichana wadogo. Huu uzi si size yangu ndio maana hujaniona.
 
Usipojifunza wewe wengine watajifunza kupitia wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea point kubwa mkuu ...great...halafu hawa hawa baadae huwa wanakuja kujuta na kuomba ushauri baadae wakati is too late...brain the most beautiful part of the body

germve himself
 
Back
Top Bottom