Dada yangu hajiamini ( au yupo sawa)

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,855
6,213
Heshima kwenu brothers and sisters,

Nimetoka home asubuh dada yangu kanishangaza sana, anafanya kazi somewhere na huwa anaenda mwenyewe na usafir wake siku zote ..na tena toka amenunua hako kagari kapya hata hatak hata nikiguse as kipya kinyemi..
Sasa alichonishangaza amependeza sana kuliko kawaida then leo kanipa funguo mwenyewe as nimdrop kazin then niachane nae and kaniazima na handset yangu ya bei rahis then kaweka line namuuliza sister leo niaje sikusomi.. Anadai amealikwa dinner date somewhere so hivyo vitu vitaharibu pozi na kuonekana sister du expensive wakati hana lolote...

Nikashangaa sana mpaka sasa haiji akilini labda wadada na wadau wengine mnifafanulie hii inakuaje ni kawaida au mwenyewe tu ajiamin
 
I can understand her....ana maana yake we muache....
 
Kabisa, najua hata mimi ile style yako ya Philips mche na nywele twende kilioni na tule tubajaji tweusi twa buku jero, tulinifanya nijione tupo levo on dei wani, ndo maana leo tunapo pamoja!! Mengi mazuri nimeyapata tukiwa pamoja!!! Ungekuja na gold mushingo, iPad au kavitz ningehic ni gold digger, ningejua tu sasa jukumu la mafuta kwa hako kavitz na vocha kwa iPad ni kwangu. Nakupenda wangu, ulikuwa simpo na bado upo simpo!!
 
kaka upo?leo kuna mtu alitaka kuleta fikwa we sijui ulikuwa wapi!na mi ngoja siku nikiwa na kieti nae namwendea na rubega kabisa ili asinialike tena!aahhahhahhahahahha
 
yuko sawa coz anataka date wake amaccept yeye kama yake and nt kwa alivyonavyo
 
kaka upo?leo kuna mtu alitaka kuleta fikwa we sijui ulikuwa wapi!na mi ngoja siku nikiwa na kieti nae namwendea na rubega kabisa ili asinialike tena!aahhahhahhahahahha

Hahahahahha! Rubega tena, dada utaua bendi!Hizo fwika mletaji mwenyewe ni nani? TNMO au Erick, au Arushaone? TANMO anaonekana kama Maryoo, angalia avatar yake!! Erickb52 sharobaro na huyo Arushaone sijui msukuleee, angalia avatar yake!!! Kama hao ndo waleta Fwika, mtafute mjomba Dark city labda hawajui!!
 
NI Boflo kaka!kanikalia kooni ile mbaya!
 
Last edited by a moderator:
Kabisa, najua hata mimi ile style yako ya Philips mche na nywele twende kilioni na tule tubajaji tweusi twa buku jero, tulinifanya nijione tupo levo on dei wani, ndo maana leo tunapo pamoja!! Mengi mazuri nimeyapata tukiwa pamoja!!! Ungekuja na gold mushingo, iPad au kavitz ningehic ni gold digger, ningejua tu sasa jukumu la mafuta kwa hako kavitz na vocha kwa iPad ni kwangu. Nakupenda wangu, ulikuwa simpo na bado upo simpo!!

....Kweli bwana, first date ukienda umetupiaaaaa saana,umejimaliza kila kitu jamaa anastuka,...anaanza kukukwepa...gharamaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom