Dada yangu hajiamini ( au yupo sawa)

Hapo nimejifunza kitu....maana na mimi naogopa mwanadada anaejipotray kuwa expensive... kamsashara kasije kakaishia kwake nikashindwa kumalizia nyumba yangu loo...
 
Huenda kidate ni kwa men wa kawaida sana bt yy anampenda na angeenda na hayo ma-iphone yake angempeperusha ndege wake au pengine angeweza kuonekana shz too xpensive to aford wakt c ajabu anaungaunga tu maisha lkn yanaenda ka mimi hapa
 
Since your a man nivigumu sana kumwelewa pia kueleweshwa itakuwa ngumu...it has nothing to do with her confidence.let her be
 
Heshima kwenu brothers and sisters,

Nimetoka home asubuh dada yangu kanishangaza sana, anafanya kazi somewhere na huwa anaenda mwenyewe na usafir wake siku zote ..na tena toka amenunua hako kagari kapya hata hatak hata nikiguse as kipya kinyemi..
Sasa alichonishangaza amependeza sana kuliko kawaida then leo kanipa funguo mwenyewe as nimdrop kazin then niachane nae and kaniazima na handset yangu ya bei rahis then kaweka line namuuliza sister leo niaje sikusomi.. Anadai amealikwa dinner date somewhere so hivyo vitu vitaharibu pozi na kuonekana sister du expensive wakati hana lolote...

Nikashangaa sana mpaka sasa haiji akilini labda wadada na wadau wengine mnifafanulie hii inakuaje ni kawaida au mwenyewe tu ajiamin

Jicho langu limesikia hv..... Omba afanikiwe kwny hyo interview, na ujiandae kukagusa sasa kagari kake, mana jamaa atampa kengine. Ila tafuta yko. Sory lakini.
 
I have my own car na naiuza now niongeze nitafute nyingine,, mi na my sister tunapatana sana na hata zaman tulikuw tunabadilishana magar but toka amenunua hako ka rav 4 kapya atak nikaguse as spare gharama anadai naendesha rafu... But nimeshangaa leo kuniachia na kuomba nimuendeshe mpaka ofisin then niende job kwangu na hata kurud nisimpitie..

Tunaelewana ndo maana akunificha kwamba ana date jion na siwez kupinga as umri wa wedding bells umeshafika, nilichoshangaa ni kwa nini asijiweke kawaida sabab nahis hata huyo jamaa atakua anamjua vizur.. Je kila siku ataacha hiyo I phone kisa anaenda date? Ni bora angejiweka wazi toka mapema as kuwa na gari mjini hapa sio ishu as mikopo kibao maofisin...
 
dada yako anataka apendwe jinsi alivyo na si apendwe kwa ajili ya rav 4, wanaume wa siku hizi wapo after money vilevile..... Pia hataki kushusha confidence ya mwanaume, wengine wakiona mwanamke anazo watakimbia na sababu nyingine tele tele
 
Heshima kwenu brothers and sisters,

Nimetoka home asubuh dada yangu kanishangaza sana, anafanya kazi somewhere na huwa anaenda mwenyewe na usafir wake siku zote ..na tena toka amenunua hako kagari kapya hata hatak hata nikiguse as kipya kinyemi..
Sasa alichonishangaza amependeza sana kuliko kawaida then leo kanipa funguo mwenyewe as nimdrop kazin then niachane nae and kaniazima na handset yangu ya bei rahis then kaweka line namuuliza sister leo niaje sikusomi.. Anadai amealikwa dinner date somewhere so hivyo vitu vitaharibu pozi na kuonekana sister du expensive wakati hana lolote...

Nikashangaa sana mpaka sasa haiji akilini labda wadada na wadau wengine mnifafanulie hii inakuaje ni kawaida au mwenyewe tu ajiamin
Yuko sawa lazima kuwe na visuprise vya kutumia baadae, si vizuri kuonyesha silaha zako zote at a go!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom