Paap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,493
- 1,401
Nyie familia mtulizeni dada yenu;
talaka siyo nzuri, ataishia kuolewa na kuachika tena mwisho ataonekana mhuni.
Hata kama atapewa mali .............?
Kulea watoto pekee yako siyo lelemama, mwisho hata ndugu wanakuacha.
............... by the way mpe pole.
Huwezi endelea ishi na mzinzi ni tabia isiyo vumilika.
Unafikiri watoto wanajifunza nn kuptia kwa migogoro ya kila cku isiyo isha. Kwanza inawadhuru.
Itakua vizur zaid akicheck na afya yake
Maana hashindwi letewa magonjwa