Dada yangu atapata haki Kisheria baada ya talaka?

Dada yangu atapata haki Kisheria baada ya talaka?

Mmmh siku hizi kitu kidogo tugawane mali.... talaka ya nini kama mumme ampigi na anawajibika na matunzo yote ni nini asimuache atembeze mkia wakee na shart mie hunigusi niko hapa kulea watotoo au naye hataki kutoguswa au kutoguswa matunzo hayatotolewa?
 
Dada yangu ndoa yake ina mgogoro 4 2months, wana 12yrs, ndoa yakikristo, 3kids ke 10yrs, me 8yrs, me 4yrs. chanzo ni uzinzi wamume uliokithiri, anazini na wanafunzi, wanawake wamtandaoni, karibu kila kona anahawara, mara yamwisho dada alifuma sms kwenye simu ya shem, inasema,
''mke wangu nakumiss sana napanga nije tena Arusha tumtafutie Bryan mdogo wake amekua sana, mke huyo akamjibu we mi naogopa usije ukanitelekeza tena.''

Dada akamuuliza kumbe una hawara hadi umezaa nae? Mume kawa mkali anadai dada hana adabu kwanini apekuepekue simu yamumewe? Mke akalia sana mume hajali, sasa hawasemeshani kilammoja anafanya lake, mke anajiendeleza chuo, hutoka asubuhi anarudi jioni kimya, jana kaja kwangu tumeshinda kanisani maombi, kufika kwake ugomvi ukatibuka mume anadai J4 ataenda kumpa talaka mahakamani sababu anakiburi eti watu huishi nawanaume malaya nakuwaheshimu, kwanini ye hamheshimu kaambiwa awaache watoto kwamume, namali zote haziache nizawatoto, mume ataziangalia, dada anataka wanae na mali.

Je, atapewa wanae namali kweli?
Mshauri Kwanza akapime afya yake yani virusi vya UKIMWI!
Haki atapata lakini anatakiwa kujua pia inaweza chelewa maana kutoa talaka kupitia mahakama ni process ndefu lazima ithibitike kwanza ndoa imeshindikana kabisa!
MWAMBIE KWANZA AKAPIME AFYA...
 
mmmh siku hizi kitu kidogo tugawane mali.... Talaka ya nini kama mumme ampigi na anawajibika na matunzo yote ni nini asimuache atembeze mkia wakee na shart mie hunigusi niko hapa kulea watotoo au naye hataki kutoguswa au kutoguswa matunzo hayatotolewa?
uwezi kukataa kuguswa ikiwa unaishi nyumba moja na mtu ambaye utaki akuguse! Hata kama utaki talaka labda ukae nyumba tofauti na yeye....
 
Poleni,
Mali huwagawanywa baada ya talaka,bahati mbaya kwa ndoa ya kikristo kwa kosa hilo alilofanya shemeji yako haliwezi kuwatenga zaid ya kusameheana na uvumilivu,asijidharirishe aangalie kwanza ana madhaifu gani had mume asimthamin,pia atafakari what next baada ya kuachika? All in all aangalie jaribu hili analikabidhi vp mbele za Mungu,inawezekana ni majibu ya makosa au maswali aliyowahi kumjaribu Mungu,may be hakufata ndoa bali mali,au alimuibia mtu huyo mume or kosa lolote,abainishe mabaya yanayomfanya mume wake awe hivyo!
Asante!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Dada yangu ndoa yake ina mgogoro 4 2months, wana 12yrs, ndoa yakikristo, 3kids ke 10yrs, me 8yrs, me 4yrs. chanzo ni uzinzi wamume uliokithiri, anazini na wanafunzi, wanawake wamtandaoni, karibu kila kona anahawara, mara yamwisho dada alifuma sms kwenye simu ya shem, inasema,
''mke wangu nakumiss sana napanga nije tena Arusha tumtafutie Bryan mdogo wake amekua sana, mke huyo akamjibu we mi naogopa usije ukanitelekeza tena.''

Dada akamuuliza kumbe una hawara hadi umezaa nae? Mume kawa mkali anadai dada hana adabu kwanini apekuepekue simu yamumewe? Mke akalia sana mume hajali, sasa hawasemeshani kilammoja anafanya lake, mke anajiendeleza chuo, hutoka asubuhi anarudi jioni kimya, jana kaja kwangu tumeshinda kanisani maombi, kufika kwake ugomvi ukatibuka mume anadai J4 ataenda kumpa talaka mahakamani sababu anakiburi eti watu huishi nawanaume malaya nakuwaheshimu, kwanini ye hamheshimu kaambiwa awaache watoto kwamume, namali zote haziache nizawatoto, mume ataziangalia, dada anataka wanae na mali.

Je, atapewa wanae namali kweli?

Mambo ya mapenzi bwana waachie wawili, waweza kuona we unasaka ushauri huku wenzio kule wanapatana, by the way katika kutengua ndoa vitu vingi sana huangaliwa kutoka pande zote mshitaki na mshitakiwa mpaka kufikia hitimisho, pia huyo atakaenda mahakamani watamrudisha kwenye ngazi husika maana ameruka hatua zinazotakiwa kufatwa.
 
Mmmh siku hizi kitu kidogo tugawane mali.... talaka ya nini kama mumme ampigi na anawajibika na matunzo yote ni nini asimuache atembeze mkia wakee na shart mie hunigusi niko hapa kulea watotoo au naye hataki kutoguswa au kutoguswa matunzo hayatotolewa?

Umeolewa????
 
Mke kapekua simu kakuta mesej ni ukosefu wa adabu,ingekuwa kamfumania au kaletewa mtoto nyumbani afadhari,hivi tukipekuana hivyo kina ndoa itadumu?huyo Dada yko atakuwa hakulelewa vizuri,na wewe ulitakiwa kumshauri Dada yko a bad I like,hivi waislam na walioko mitaala siyo wanawake?
 
Nyie familia mtulizeni dada yenu;
talaka siyo nzuri, ataishia kuolewa na kuachika tena mwisho ataonekana mhuni.
Hata kama atapewa mali .............?

Kulea watoto pekee yako siyo lelemama, mwisho hata ndugu wanakuacha.

............... by the way mpe pole.

Na mimi nina mtazamo kama wako mkuu, sema ni wachache wa kuelewa unachoongea. Sijui atoto, Heaven Sent, Eli79 wanasemaje manake sijawasoma kwenye uzi huu

Niliwaiga kusema ni bora uendelee kuwa nyumba kubwa kuliko kuachika na kwenda kuwa nyumba ndogo
 
Last edited by a moderator:

Huu uzi hata nilikuwa sijauona! Mmmmh mie my kaka si unanijua vizuri? Ngoja labda nikiolewa akili itabadilika.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa! Mambo mengine ni rahisi kuongea ukiwa nje, so subiri kwanza niingie maybe nitakuwa na cha kuongea.

Exactly sista, ila we hatutakula mali yako yote, manake uvumilivu zero, hatukawi kuambiwa turudishe mali ya watu loh!!

Ila sure, haya mambo bana ni rahisi kusema ukiwa nje, ingia ndani uone utakavyokuwa njiapanda, moja haikai mbili haisimami
 
Hahahaaaaa! Tena ikibidi hataaa msiombe mahari mwambieni aende tu akiona ninamfaa ndio alete mahari atakayojisikia. Mkijitutumua sijui ng'ombe kumi mjiandae kuuza nyumba kurudisha mahari ya watu.
 
Hahahaaaaa! Tena ikibidi hataaa msiombe mahari mwambieni aende tu akiona ninamfaa ndio alete mahari atakayojisikia. Mkijitutumua sijui ng'ombe kumi mjiandae kuuza nyumba kurudisha mahari ya watu.

Hahaaaaaaaa akyanani dada ninaye, khaaaa!!!
 
Mkuu, je kama wanawatoto wanagawana vipi mali? Nikitaraji mali ni kwamanufaa ya watoto. Mfano wananyumba inauzwa au?

Mkuu mali zitagawiwa kwa uwiano ambao mahakama itaona unafaha,kwa hyo yule atakayepewa watoto bas atapewa mali ambazo zitakuea condusive kwa ajili ya makuzi mazuri ya watoto.
 
Umeolewa????
Ulivyo muuliza swali hili nimekaa on line kuona atajibu nini! unajua hapa kwenye key board ni rahisi kumshauri mwenzio aache mali wakati alishiriki miaka yote na akaweka nguvu zote kuzitafuta na mumewe kuzitafuta!

Nimejiuliza kweli ni kama ingekuwa ni ndugu yake angesema hayo?
 
Back
Top Bottom