Dada yangu anataka nimpe mambo..

Status
Not open for further replies.
Acha ujinga hebu lilapue hilo au unataka majirani walilapue?
 
Hv nyie mna wazazi kweli? Au ubinamu wenu wa kuunga? Majibu ya nini cha kufanya unayo mwenyewe usituchoshe sie.
 
Mtafute mkuu mmoja anaitwa Mzabzab,hii topic inamuhusu atakupa ushauri Mzuri.
 
Nakushauri usomt..mbe bali jaribuni kukutanisha vikojoleo vyenu kama njia ya kuepuka tamaa ya ngono,kikojolea kitakachokasirika kitamtemea mwenzake mate na huo ndio utakuwa mwisho!
 
Tembeza bakora ww! Unalaza damu nn? Hakuna kuogopa wala nn!
 
Kung'uta uyoo, alokwambia kuna laana nani? Binamu hamna noumaa wala nn!
 
Threads kama hizi huwa napenda tu kusoma comments za wadau....teh teh teh!
 
duh! am left speechless lakini it depends,kwa wenzetu waisilam dini inaruhusu...ila kwa sie bwana asifiwe/tumsifu ni bonge la abomination oooohhhh
 
Oops!

Nkalale kwa ajili ya ulinzi,
Nkashangaa,
Nkamwangalia,
Nkamwambia akalale kwake!
 
ukute huyo shemejio kawatega tu...be carefull ooo...utakatwa kichwa mkuu.
 
hivi unataka tukushauri nini tena wakati wewe mwenyewe umekiri kuwa huyo ni mke wa mtu,why cant you use yo common sense?or your common sense is not common?
 
Aziniye na mwanamke hana akili afanya jambo litakalomwangamiza.,pia rejea kisa cha yusuf ktk mwanzo 39 mke wa mfalme alipomtaka alale naye alikataa then yule mwanamke akageuka kuwa yusuf alitaka kumbaka,kijana alifungwa ila baada ya mfalme kugundua kuwa alionewa alipandishwa cheo akawa waziri.,vipi leo mke wa boss wako akikuhitaji si itakuwa sherehe kwako!.tumwogope mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…