Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,955
- 2,489
- Thread starter
- #21
YEYE anatafuta wateja cc tunatengeneza. Wateja mara nyingi wanatafutwa online kwasababu DEMO zetu zipo online. Kwakua anajua computer ataweza kunasa email ktk vitu tofauti kama vile Business cards nk. Vipi atajua kampuni haina website? zipo njia nying mfano Google inaweza kutumika au ukiiangalia email inayotumiwa na kampuni ni yahoo au gmail unaweza bahatisha haina website. Atajuaje bei? price list zetu hizi hapa Our Pricing List DEMO zote zinauzwa
Okay mkuu, Nimemshauri na kwa sasa ameshaanza kuchangamkia tenda. Kama kuna mwenye Idea nyingine bado anakaribishwa.