Kiziwanda chema
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 289
- 478
- Thread starter
-
- #41
Kwanini usitoe namba zake moja kwamoja, kwani unadhani humu watu hawapo serious? Japo fake wapi pia,
Pwani tumetengwaMimi nna shida na kijana wa kiume awe na 18-20 kazi kubwa ni kubaki na nyumba usafi/kupika chakula hususan cha kwake mambo yote kwangu mshahara ni 50,000/= naitaji zaidi wa kutoka Iringa na mbeya,kusini siwaitaji.
Ukikosa wa kiume wa kike nipo apa ntakua wa dayMimi nna shida na kijana wa kiume awe na 18-20 kazi kubwa ni kubaki na nyumba usafi/kupika chakula hususan cha kwake mambo yote kwangu mshahara ni 50,000/= naitaji zaidi wa kutoka Iringa na mbeya,kusini siwaitaji.
Kwani si amekupa fursa ya kutangaza CV yake, sasa contacts zinakuwaje zako mkuu? Au wewe dalali tujueKwangu mm, naona sio vizur kuanika namba ya mtoto wa kike hadharani
Wa day kwa 50,000 itakulipa kweli Inna??Ukikosa wa kiume wa kike nipo apa ntakua wa day
Hailipi ila si kusaidizana ..uchumi si ndo huu mgumuWa day kwa 50,000 itakulipa kweli Inna??
Basi sawa una umri gani?Hailipi ila si kusaidizana ..uchumi si ndo huu mgumu
Mshahara 30000/= analala apoapo kazi za nyumbani DAR. Kama bado yupo njoo PMHabarini
Husika na mada tajwa.
Dada yangu anatafuta kazi ya kufanya ya kujipatia ridhiki, iwe dukani, stationery, au nyingine yoyote halali ya kujipatia kipato halali.
Hachagui kazi Hata kazi za ndani yupo tayari endapo mtakubaliana.
Kwa sasa anapatikana hapa Dar, umri wake ni miaka 22.
Kwa mawasiliano zaidi
Nipigie 0767775726
Nikupe taarifa zaidi
Uwe serious please.