Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Kuna watu mnaongea ongea tu bila ya kuwa na ushahidi, Hivi nikikuuliza ulete ushahidi wa nepotism ndani ya chadema, utaweza leta? Na hiyo nepotism haipo vyama vingine?Nepotism imetawala sana Chadema siku ikitawala nchi hii tutegemee mababu na mabibi watapewa nyadhifa kubwa serikalini
Mkuu mbona CCM kuna Baba mbunge ,binti mbunge?Kwahiyo kaka mbunge dada diwani? Hiiiiiiiiiiiiiii acha nicheke kijiwe jiwe
Kwani bulembo c baba mbunge na mtoto mbunge hii hujaionaKwahiyo kaka mbunge dada diwani? Hiiiiiiiiiiiiiii acha nicheke kijiwe jiwe
Sasa kunatofauti gani kati ya CCM na ChademaKwani bulembo c baba mbunge na mtoto mbunge hii hujaiona
Hakuna chama hapaNepotism imetawala sana Chadema siku ikitawala nchi hii tutegemee mababu na mabibi watapewa nyadhifa kubwa serikalini
Toa uthibitisho kuwa nepotism haipo ChademaKuna watu mnaongea ongea tu bila ya kuwa na ushahidi, Hivi nikikuuliza ulete ushahidi wa nepotism ndani ya chadema, utaweza leta? Na hiyo nepotism haipo vyama vingine?
Muache kutufuatilia fanyeni mambo yenu.
Nepotism imetawala sana Chadema siku ikitawala nchi hii tutegemee mababu na mabibi watapewa nyadhifa kubwa serikalini
Chadema mlitakiwa msiwe na mfumo wa nepotism kama CCM ili muonyeshe mfanoNilikuwa napita mahali flani leo nikausikia ule wimbo wa injili wa zamani kidogo ukiimbwa; Toa kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako'
Kuna chama kimoja kikubwa tu tena mahiri, tena chama kongwe. Leo hii bungeni Mtoto ni mbunge na Mama mbunge wa kuteuliwa. Sasa sijui nepotisim inakuwa CDM tuu au?
Mbona wengine baba kafariki mnawapa ubunge wa baba yao au nepotisim huko haiko?? Pole sana
Naam mambo yameiva!
Kamati ya utendaji ya Chadema Kanda ya Kaskazini imemvua uanachama diwani wa Viti Maalum wa chama hicho, Digna Nassari kwa makosa ya kinidhamu.
Arusha. Kamati ya utendaji ya Chadema Kanda ya Kaskazini imemvua uanachama diwani wa Viti Maalum wa chama hicho, Digna Nassari kwa makosa ya kinidhamu.
Kamati hiyo pia imependekeza Meya mmoja wa jiji anayetokana na chama hicho kuvuliwa uanachama kutokana na makosa ya kinidhamu na usaliti.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Mei 21, 2019, katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Aman Golugwa amesema uamuzi huo umetolewa katika kikao cha kamati hiyo kilichofanyika Mei 18, 2019.
Amesema tayari uamuzi huo umepelekwa ngazi za juu za chama hicho sambamba na hatua za kinidhamu kwa wabunge saba.
Amebainisha kuwa kikao hicho kiliongozwa na Kaimu mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Joseph Selasini ambaye ni mbunge wa Rombo.
Chanzo: Mwananchi
Ila hao waliochaguliwa hawakustahili hizo nafasi?? Asingelitumbuliwa mngelijua lini kuwa Nassari alikuwa na dadake aliyekuwa diwani?? Acheni hizo mambo za kipuuzi. Aliye karibu na kama ni mchacharikaji kwa ajili ya chama apewe nafasi bila ubaguziChadema mlitakiwa msiwe na mfumo wa nepotism kama CCM ili muonyeshe mfano