Dada wa saluni ya kike anatafuta kazi

Dada wa saluni ya kike anatafuta kazi

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
572
Reaction score
553
Habari wapendwa poleni na kazi. Dada wa saluni anatafuta kazi anapatikana Dar Ukonga.

Anaweza kufanya kazi zote za saluni ya kike na ana uzoefu wa kutosha. Kwa atakayemuhitaji aje PM nimpe mawasiliano.
 
Icheki hiyo kazi nimeattach huenda ikamfaa
Screenshot_20200726-170728.jpg
 
Back
Top Bottom