Dada wa Saloon ananiletea wanawake

Anza tu kujiandaa kisaikolojia coz mkeo soon atapata tu habari zako zote. Na utaachwa mchana kweupee pamoja na kuwa na hiyo mashine yako sijui kubwa pyee.
Huyu mwongo tu. Kawaida ya binadamu ni mbinafsi, ukichovya mara moaja ukamwacha lazima akufix na kufix kwenyewe ni kumweleza mkeo. Hizi story za wahanga tu
 
Naona vipaji vya kutunga hadith vinaongezeka...ok umetunga adisi nzur kijana
 

Utavuna ulichopanda
doh kawimbo haka katamu balaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…