Anza tu kujiandaa kisaikolojia coz mkeo soon atapata tu habari zako zote. Na utaachwa mchana kweupee pamoja na kuwa na hiyo mashine yako sijui kubwa pyee.
Yaani kama unaishi mitaa ya uswazi yenye saloon na wanawake
mapepe wanao hadithiana nani anatembea na nani
na ni wakeza watu..jiandae kufanyiwa kitu kibaya sana
ningekuwa wewe ningehama mtaa.....
kuna watu watakuwa wanafuatilia habari zako taratiibu ili uingie anga zao
hata kama wake zao wanawajua ni mapepe...