Kwani urafiki ukiisha na ukuni ushachapa una hasara gani?Sijamaanisha hivyo ila wasiwasi wangu
Urafiki wetu utakuja kuisha au kugombana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi unadhani mshikaji akigundua namchafua Dada yake atanifikiriaje
Jamaa ana kitambiKwani unataka umwambie huyo bro wake?
Peaneni tuu hata akijua mshapeana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] itakuwaJamaa ana kitambi
Akipewa hatawezana
My life is mine to remember
MkwepeIvi unadhani mshikaji akigundua namchafua Dada yake atanifikiriaje
Lakini pia upande wa pili Dada yake ni mkubwa sana kwangu kanizidi kiumri
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] itakuwa