Dada wa mjini...

Kile kifungu Cha amtamaniye mwanamke amezini nae haiko fair kabisa. Anayekula kwa macho na anakula mbashara kupata dhambi sawa ni uonezi
Basi kama mambo ni hayo, natubu na sitatazama tena tv, magazeti ya udaku, mitandao ya kijamii nitasoma jukwaa la sheria na dini basi.

Bila hivyo kwa hulka zangu nitaona aibu hata kujitetea siku ya hukumu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…