Dada wa mjini...

Itabidi iwe hivyo tu, ivi mtoto kama huyu anajileta alafu unaambiwa usizini kweli sawa hiyo, ebu tuache utani mkuu. Mungu anatupenda hawezi tuchoma moto milele atabatilisha tu adhabu

View attachment 1894995
Pisi kama hii
Mungu anakupa adhabu kifungo cha nje miezi 6
Baada ya hapo geti unafunguliwa unazama mbinguni๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
 
haya mambo sio mepesi hata kidogo yani.. acha tuwapelekeee motrooooo
Mungu achome mtu moto wa milele eti kisa umependa kiumbe chake
Sasa wanaopoteza wengine itakuaje ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
Moto wa milele is the biggest lie ever
 
ale nn vile .... Ahahaha ase n kwerekwecheee
 
Mungu sio katili kiivyo kwamba akuweke kwenye moto siku zote, atatutoa tu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Sasa aone mtu anateketea kwa moto ili apate nini sasa
Hizi dini zingekua zinafundishwa ukubwani makatekista wangekimbia altare kwa maswali
 
Sasa aone mtu anateketea kwa moto ili apate nini sasa
Hizi dini zingekua zinafundishwa ukubwani makatekista wangekimbia altare kwa maswali
Dini zipo kushape watu wote tuwe sawa ni sawa na mahakama na vyombo vingne vya ulinzi n kuweka usawa tu mambo mengne haya m nadharia
kula wao bwanaaa ni kwere...
 
๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’ ngumu hii mzee. Mungu anatupenda atuwezesha tu maana mie siwezi.. mambo yenyewe kama haya kwelii.. mbona mazito sanaa
View attachment 1895198
Daudi siku moja akiwa kwenye jumba lake la kifalme, kwa chini anaona binti mmoja, pisi kali balaa, Daudi na utume wake vilimshinda kujizuia, Daudi akala tunda kimasihara...
Mapenzi yakamchanganya Daudi hadi akaamua kumuua mumewe ki makusudi, kwa sababu alikuwa askari... akapangwa mstari wa mbele...
Dah... hizi pisi sisi ni akina nani tushinde majaribu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ