Dada wa mjini...

Hana thamani wakati akiwekwa katikati ya wanaume kamili lazima agombaniwe kama pesa?

Kwanza hapo umemeza mafundo kadhaa ya mate sema tu ukaamua kujisemea kama sungura

Sizitaki mbivu hizi
Ninaheshimu mawazo yako, hayo ni mawazo yako.
Kugombania mwanamke;
1. Usiyemjua
2. Hujui afya yake
Huu ni ufala plus udomo zege.
Ninaweza kutongoza nimtakaye na hata angeniita anipe bure simgusi..
Hii ni torati yangu " sili mzoga bali mawindo yangu"
 
Kale katamaa ka kiume Mungu hakukaweka ndani yako?
 
Kale katamaa ka kiume Mungu hakukaweka ndani yako?
Ninatamani lakini nina aina ya niitakayo, mwanamke anapofikia kutojiheshimu kiasi hicho amepitia mengi na mb..oo nyingi, haoni thamani ya mwili wake tena yaani papuch, hiyo tunaita fungulia mbwa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…