Dada wa kazi

Big5

Member
Sep 25, 2014
34
14
Habari za mchana wanandugu,
Ninahitaji mdada wa kazi ambaye yupo tayari kuja kufanya kazi za nyumbani na kuishi Arusha mshahara tutaelewana Mimi na yeye.
 
Kazi gani? Kazi za nyumbani ni nyingi.... hebu ziweke wazi hapa
 
Habari za mchana wanandugu,
Ninahitaji mdada wa kazi ambaye yupo tayari kuja kufanya kazi za nyumbani na kuishi Arusha mshahara tutaelewana Mimi na yeye.
Watafute hawa watu Reliable house maid company 0746 216 937. Wako arusha mimi wamenisahidia sina stress na maid kabisa kwa sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom