Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,988
- 1,209
Kama kuna mtu anajua mahala ninapoweza kupata dada wa kazi anisaidie ninahitaji wanaotoka Iringa au Singida hata akiwa huko mkoani tuwasiliane
Inaonekana kweli umetingwa. Isije ukawa unawatesa tukapata lawama zisizo za msingi.Kama kuna mtu anajua mahala ninapoweza kupata dada wa kazi anisaidie ninahitaji wanaotoka Iringa au Singida hata akiwa huko mkoani tuwasiliane
Kuteswa hapa hateswi aliekuwepo anauguliwa na mama yake mshahala ni maelewano akipatikanaInaonekana kweli umetingwa. Isije ukawa unawatesa tukapata lawama zisizo za msingi.
ungeweka na mshahara pamoja na fringe benefit fasta unapata. But take care wezi nao wanakuja kwa njia hii hii.
Asante mamilooNkungulume kuwa makini usije tapeliwa, wenzio tulishalizwa ktk hilo!!