Dada wa kazi

Dada wa kazi

Nkungulume

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,987
Reaction score
1,210
Kama kuna mtu anajua mahala ninapoweza kupata dada wa kazi anisaidie ninahitaji wanaotoka Iringa au Singida hata akiwa huko mkoani tuwasiliane
 
Nkungulume kuwa makini usije tapeliwa, wenzio tulishalizwa ktk hilo!!
 
Kama kuna mtu anajua mahala ninapoweza kupata dada wa kazi anisaidie ninahitaji wanaotoka Iringa au Singida hata akiwa huko mkoani tuwasiliane
Inaonekana kweli umetingwa. Isije ukawa unawatesa tukapata lawama zisizo za msingi.
ungeweka na mshahara pamoja na fringe benefit fasta unapata. But take care wezi nao wanakuja kwa njia hii hii.
 
Kuteswa hapa hateswi aliekuwepo anauguliwa na mama yake mshahala ni maelewano akipatikana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom