Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,764
Wonders shall never end! Sasa anaevunja ndoa hapo ni jamaa mwenyewe halafu unaandika heading inasomeka kuwa "Dada wa kazi za ndani hatarini kuvunja ndoa"!
Wako wengi tu wenye viwango,uliokutana no wewe labda ndiyo maana unatema falacy.Kuna dada wa kazi akikatiza hata korido inatikisika,yaani ndani ya nyumba anaenea kwelikweli......acha kabisa.Ila siungi mkono hoja ya wanafamilia kumla dada wa kazi maana naye ni mwanafanilia,waachwe waliwe na majirani huko.Wanaliwa mkuu, ila mimi siwezi kumla beki 3, kwanza hawana viwango
Aibu kubwa sana na dharau ya juu kwa mke. Ifikie hatua tuwaonee huruma wanawake!
Hivi hadi unafikia hali hii akili zinakuwa wapi? Malaya na papuchi za bure na cheap zipo kibao mtaani! Angeenda mbali basi!
Yaani NYEGE hizi!
Unatania wewe mwanamke sio wakumuonea huruma kamweAibu kubwa sana na dharau ya juu kwa mke. Ifikie hatua tuwaonee huruma wanawake!
Hivi hadi unafikia hali hii akili zinakuwa wapi? Malaya na papuchi za bure na cheap zipo kibao mtaani! Angeenda mbali basi!
Yaani NYEGE hizi!
Yaani mkeo, usimuonee huruma!?Unatania wewe mwanamke sio wakumuonea huruma kamwe
Yaani mkeo, usimuonee huruma!?
1. Unapiga house girl wako.
2. Tena kitandani anapolala mkeo.
3. Na bado akufumanie useme si wakuonea huruma!
Kuna vitu vya kuepuka.
Sielewi hata ulichoandika!Wat she offers i can get it with the flick of a finger... So nothing special about her