Dada wa kazi za ndani hatarini kuvunja ndoa

Dada wa kazi za ndani hatarini kuvunja ndoa

Jana jamaa ambae ni rafiki angu aliniombaa kwenda kwake kumpoozesha shemij yaani mkee wake ili asije kuondoka na hii ni baada ya mkee wake kumkuta anamgegenda beki tatu tena kitandani kwake live bila chengaa mke ni mjamzito anafikiriaa kuondokaa nimejaribu kumzui imeshindikana. . na anataka tu kusepa ampishe jamaa na huyo beki tatu

Ananiomba nimsii mkee wake ila namim nimeshindwaa nikaona niwasilishe kwa wanabodi mtoe mbinu kwa wale waliokwisha fumaniwa na mabeki tatu mlifanyaje dhoruba hyo ikatuliaaa
Sikia, uwezekano wa kuinusuru hiyo ndoa ya mshikaji wako ni kubwa.

Huyo mkewe hapo ana hasira na mchanganyiko na wivu tu na akikaa muda fulani atatulia, ni kama kufiwa tu unalia kwa uchungu baadaye unasahau.

Cha kufanya: hilo jambo usilimalize peke yako, sababu huyo shemeji anaona kama 'unamla kisogo' pamoja na huyo raiki yako, anakuona ni walewale.

Shirikisha wazee 'wenye heshima zao' kumpatia ushauri nasaha huyo shemejiyo atatulia tu.

Amrejeshe kwao hima huyo beki3 wao na aendelee kumuomba msamaha mkewe mfululizo bila kuchoka na ajiandalie adhabu kwa ajili ya kumfurahisha mkewe, ajifirisi.

Yaani ampige zawadi ambazo hajawahi kumnunulia mkewe hata siku1.

Watu tulifanyaga matukio ya kashifa makubwa kuliko hilo na tukaua soo, lakini hadi leo wake zetu tunao na maisha yanasonga.
 
Msamaha unafaida gani mtu akishatenda katenda hata ukisamehe hausahau ss si bora asiombe msamaha tu
 
Kwani hawaliwi mkuu!??

Hapo kwenye kumla kwenye Kitanda anacholala na mkewe ndipo amekosea zaidi
Na ndicho nachoona hata mimi.
Kumla huyo mdada kwenye kitanda anacholala na mkewe hadi kufumaniwa ndio kalikoroga zaidi.
Hayo mengine yaliosalia ni porojo za utakatifu wa bandia!.
 
Ngoja waje wale waliokwisha fumaniwa na mabekitatu ili wamshauri.
Mpe pole sana jamaa
 
Msamaha unafaida gani mtu akishatenda katenda hata ukisamehe hausahau ss si bora asiombe msamaha tu
Mh! Kuna watu wakali wana visirani visivyoshuka!
Mungu mwenyewe anatuhimiza tusameheane jamani.
 
Na ndicho nachoona hata mimi.
Kumla huyo mdada kwenye kitanda anacholala na mkewe hadi kufumaniwa ndio kalikoroga zaidi.
Hayo mengine yaliosalia ni porojo za utakatifu wa bandia!.
Hivi hili la kitanda huwaga ni msamiati au kitanda hikihiki (an item)?
Hivi kitanda anacholalia na mkewe kina thamani kuliko usaliti?
Kwamba kama angelitaka kuzini na huyo h/g angilizini naye hata bafuni kuliko kitandani kwa mkewe! Kha! Je angeliwakuta wamelala kwenye mkeka, kosa lao lingelikuwa ni dogo?
Hapa me naona tungelishauri kosa zima la kulala na mtumishi wao kuliko kujielekeza kwa kuthamini kifaa kuliko utu.
 
Kusamehe sio shida, shida ni kutosahau ukikumbuka unageuka mbogo tena
Mtu anajifirisi anakulipa kama kweli anakupenda na maisha yanasonga.

Na mwanaume kufanya hayo maujinga siyo kwamba anakuwa hakupendi no, ni kule kujimwambafy kitoto, anakuchukulia kama mamake mzazi, akifanya kosa anajua 'utamchapa' yataisha.

Moyoni anakupenda sana na ukikazia kumuacha kweli, anaweza hata kuchanganyikiwa akajiua.

Wanawake katika ndoa zenu mmeshikilia roho za waume zenu, majigambo yao na furaha zao zimeshikwa nanyi, ingawa kweli ndoa nyingine zipo icu.

Ukiondoka hawezi kusema ataishi na huyo hg.

Ukikuta mtu anahangaika kukuangukia,
msamehe tu, maana kosa kama hilo hawezi kulirudia tena kwa kisago cha aibu atakachokumbana nacho katika tukio zima, ingawa kweli hauwezi kusahau.

Na kipimo kikubwa cha hayo niyasemayo utayapima kwa maneno atakayokutamkia wakati akikuomba msamaha.

Ukikuta blah blah za kipumbaf kwenye kuomba radhi kwake, elewa huyo kakuchoka kweli, chukua hatua ambayo itamfanya auone uthamani wako na ajute maisha yake yote.

Maana kuachwa na mke kwa sababu yoyote ile si jambo dogo ni pigo kubwa sana kwa mwanaume na ni doa lisilofutika maishani yote.
 
Jana jamaa ambae ni rafiki angu aliniombaa kwenda kwake kumpoozesha shemij yaani mkee wake ili asije kuondoka na hii ni baada ya mkee wake kumkuta anamgegenda beki tatu tena kitandani kwake live bila chengaa mke ni mjamzito anafikiriaa kuondokaa nimejaribu kumzui imeshindikana. . na anataka tu kusepa ampishe jamaa na huyo beki tatu

Ananiomba nimsii mkee wake ila namim nimeshindwaa nikaona niwasilishe kwa wanabodi mtoe mbinu kwa wale waliokwisha fumaniwa na mabeki tatu mlifanyaje dhoruba hyo ikatuliaaa

Amwache aende, atarudi tu!
 
Acheni kuhukumu bila kujua upande wa pili, haya manamake mnayoyatetea leo ndo yamegeuka kichwa ndani. Usikute lilikuwa linampangia sex mwanamme au halimpi kabisa na hapo linabanduliwa na jamaa ambaye mwanamme yamkini alishatonywa. Unafikiri nini kitafuata
 
Sasa yeye mke anaumia nini beki tatu akigegedwa?Akishaondoka anafikiri ndo beki tatu ataacha kugegedwa?Mwambie hivi awe mvumilivu hizo ndo changamoto za maisha,wazungumze na mwenzie tu wajue kama beki tatu abaki au aondoke.akileta nyodo atajikuta hana mume na maisha yanaendelea
 
Umenena vyema mkuu
Ukweli nikwamba huyu anabahati mbaya ya kafumaniwa ila wanaumme 50% wenye ndoa zao wanapata loose cheap sex kwa watumishi wao wandani ndgu wa mke na majilani, hususani wake zao wakiwa wajawazito au wakiwa wamejifungua.........na hili kwa mwana mke wa Kiafrica sio shida ya kuvunja ndoa akiwa anaipenda, sema tu jf kila mtu ni Nabii Mtakatifu Msomi Tajiri nk hupati maisha halisi ya watu. Hapa kwetu jilani limetokea wiki hi tena kibaya zaidi mama mwenye nyumba alivo wafumania beki Tatu kaanza kugombana na huyu mama mwenye nyumba kampa majiraha kwelikweli, Baba mwenye nyumba kakimbia centre kawaacha wenyewe tu ucku ulivo Ingia Baba hajarudi mama katuma mtoto kumuangalia Baba mwenye nyumba akarudi, wakanena na mkewe kidogo, beki tatu kapewa nauli kesho yake kaondoka, maisha yao yakaendelea vizri tu, tena kibaya zaidi hi ni familia ya ya wasomi mama ni Graduate na Baba ni Graduate wamekaa zaidi ya miaka 7.pamoja......kwahilo kuridhisha mwanaumme sio kitu rahisi hususani mwenye uwezo
 
Jana jamaa ambae ni rafiki angu aliniombaa kwenda kwake kumpoozesha shemij yaani mkee wake ili asije kuondoka na hii ni baada ya mkee wake kumkuta anamgegenda beki tatu tena kitandani kwake live bila chengaa mke ni mjamzito anafikiriaa kuondokaa nimejaribu kumzui imeshindikana. . na anataka tu kusepa ampishe jamaa na huyo beki tatu

Ananiomba nimsii mkee wake ila namim nimeshindwaa nikaona niwasilishe kwa wanabodi mtoe mbinu kwa wale waliokwisha fumaniwa na mabeki tatu mlifanyaje dhoruba hyo ikatuliaaa
picha ya beki tatu please
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom