Dada wa kazi za ndani hatarini kuvunja ndoa

Punguza hasira haya mambo yanaongeleka
 
Nakuelewa mane. Tena na mimba yake jamani
 
Ukweli nikwamba huyu anabahati mbaya ya kafumaniwa ila wanaumme 50% wenye ndoa zao wanapata loose cheap sex kwa watumishi wao wandani ndgu wa mke na majilani, hususani wake zao wakiwa wajawazito au wakiwa wamejifungua.........na hili kwa mwana mke wa Kiafrica sio shida ya kuvunja ndoa akiwa anaipenda, sema tu jf kila mtu ni Nabii Mtakatifu Msomi Tajiri nk hupati maisha halisi ya watu. Hapa kwetu jilani limetokea wiki hi tena kibaya zaidi mama mwenye nyumba alivo wafumania beki Tatu kaanza kugombana na huyu mama mwenye nyumba kampa majiraha kwelikweli, Baba mwenye nyumba kakimbia centre kawaacha wenyewe tu ucku ulivo Ingia Baba hajarudi mama katuma mtoto kumuangalia Baba mwenye nyumba akarudi, wakanena na mkewe kidogo, beki tatu kapewa nauli kesho yake kaondoka, maisha yao yakaendelea vizri tu, tena kibaya zaidi hi ni familia ya ya wasomi mama ni Graduate na Baba ni Graduate wamekaa zaidi ya miaka 7.pamoja......kwahilo kuridhisha mwanaumme sio kitu rahisi hususani mwenye uwezo
 
Hao wanandoa wana matatizo yao binafsi. Kama hili wameshindwa kulimaliza ndani na kuliacha litoke nje. Msione watu wanalea wajukuu, kwenye ndoa kuna mengi.
 
Hao wanandoa wana matatizo yao binafsi. Kama hili wameshindwa kulimaliza ndani na kuliacha little nje. Msionekane watu wanalea wajukuu, kwenye ndoa kuna mengi.

Ni kweli kabisa...

Hapo issue siyo house girl kukazwa na mwenye nyumba...

Hapo tatizo lipo kwa wanandoa wenyewe...



Cc: mahondaw
 
Mmh nimekosa ata cha kusema...inasikitisha kwa kweli.
 
Ni ngumu kumesa! Usiombe likutokee! Utakachofanya utajua siku hiyohiyo!!
 
Aibu kubwa sana na dharau ya juu kwa mke. Ifikie hatua tuwaonee huruma wanawake!

Hivi hadi unafikia hali hii akili zinakuwa wapi? Malaya na papuchi za bure na cheap zipo kibao mtaani! Angeenda mbali basi!
Yaani NYEGE hizi!
Sio nyege mkuu ni ujinga na ufala.
Huwezi kumshusha na kumdharau mkeo hivyo yani kwenye kitanda chake!!!!!
Alafu bake 3.
Huyo asishauriwe afe tu.
 
Hawa dada wa kazi ukimpata mwingine anakuwa mchawi anawanga au anakuwa mcharuko usipime, hasa mda mwingine hukomoa tena akimkuta yule bosi ambaye ni "Supervisor Kidole" ndo huwakomesha mabosi kama hao, we utatafutaje beki tatu ambaye amekuzidi vigezo tafuta mburura
😁😁😁
 
Mama, Mke na Dada. Kila mtu ana nafasi na mipaka yake ambayo haina mbadala.

Mama hawezi chukua nafasi ya mke na wengine ni hivyo hivyo. Kila MTU akijua hili na mwanaume nae akajua kuchezea nafasi yake katikati hakuna shida katika ndoa
 

Mimi sijawahi mpitia beki tatu kwahiyo sijawahi fumaniwa na moja kwa moja sina uzoefu wa kukushauri.

Pole siku nyingine usirudie, inabidi uoe beki tatu acha mama wa watu aende.
 
Bora mm nilikala seblen! Sio kitanda kimoko na mkewang! [emoji28][emoji28][emoji28]
 

Daah!!

Hao nao ni binadamu aisee!!

.........Mburura akulelee mtoto, akupikie, akulindie nyumba ukiwa kwenye mishe zako na majukumu mengine yote ya nyumbani afanye yeye.
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” jamaa ana dharau sana,kitanda anacho lala na mke wake!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…