Dada wa Kazi anahitajika

Nina shida ya dada wa kazi, mbona vigezo ni vya kawaida sana Asprin, hebu visome tena naamini hata wewe unataka upate msaidizi mwenye sifa hizo. Wasumbufu sana, ukimbeba habebeki
Huyu nayelala naye uchi kitandani alishaachaga uhusiano na hawa viumbe...

Hivi sasa tunaishi na mama mjane (watoto wanamwita bibi) kwa raha zetu. hasumbui mama wa watu, yani kiroho safi tushamfungulia na genge lake ajiongezee kipato...

Sasa sijui kumleta huyu bibi ilikuwa janja yake... maana haniaminiamini vibinti vikipita mbele yangu...
 
Watu wazima ni wazuri hasa ukiwa na watoto wakulelewa, ila sasa mie naona aibu kuwa na mama mtu mzima halafu naanza kumtuma: mfano nenda kaninunulie henken pale supermarket hahahahhahahahahah
 
Watu wazima ni wazuri hasa ukiwa na watoto wakulelewa, ila sasa mie naona aibu kuwa na mama mtu mzima halafu naanza kumtuma: mfano nenda kaninunulie henken pale supermarket hahahahhahahahahah
Macho yangu bhana... yani yanasoma vitu vyekundu tu...

Ila ahsante kwa taarifa, kumbe we bado bikra, huna mtoto.

Ntalifanyia kazi hili jambo muhimu kwa maendeleo ya taifa... Ufyatuaji.
 
Macho yangu bhana... yani yanasoma vitu vyekundu tu...

Ila ahsante kwa taarifa, kumbe we bado bikra, huna mtoto.

Ntalifanyia kazi hili jambo muhimu kwa maendeleo ya taifa... Ufyatuaji.
hahahahahahahahahahahahahahahahahahah
 
Mm wamepita wengi hata idadi sina. Mmoja alikuja usiku saa tano, basi lilipata shida njiani, asubuhi kaamka na kirambo mkononi na sh.2000 iliyobaki kwenye pesa ya chakula tuliyomtumia anasema anataka kurudi kwao. Mr. alitaka kumpiga mabao maana yeye ndio aliyemsubiria usiku kuleTemeke.
wanakera kwa kweli.
 
Angemuonja hata kibao kimoja maana wanakera sana. haahahahahahah
 
Double! Njoo uwe beki taraa nikulipe one kilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…