Dada usifanye hivi kwa mdogo wako wa kiume

Dada usifanye hivi kwa mdogo wako wa kiume

Dada Kama Hao Ndio Wazuri... Unatandika kutoka Tegeta Mpaka gongo la mboto
 
karbu kiumeni.. mimi pia ninatoka kwenye familia kama yako watatu kuzaliwa na tupo wanne wote wadada /kasoro mimi huu mtindo wa kulengesheana ulikuwa zamani bado nko mdgo.. lakini siku hizi tuko mbalimbali.. nayafurahia maisha nyota imezidi kungaa
 
mfungue shule za boarding muende shule msitusumbue. story ya kindorobo
 
Mimi na Dada yangu tulikuwa paka na panya enzi tukiwa wadogo na hadi leo hatuna ukaribu sana ila am alwys there for her akiwa na shida yoyote na msaidia na pia namshauri. Hongera kwa kupata Dada ambaye ana kupenda na ambaye mpo karibu.
 
Back
Top Bottom