Dada unahitaji kazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dada unahitaji kazi?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Manyanza, May 3, 2011.

 1. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hello wana JF
  Anahitajika dada ambaye ana uwezo wa kutumia vizuri Computer yaani Basic Computer Applications(MS OFFiCE) especially MS WORD,EXCEL, AND OUTLOOK vilevile awe ana uwezo wa kuongea kiingereza kwa ufasaha.
  Awe nadhifu, mchangamfu. Age (22-25)
  Kazi yake itakuwa ni kusimamia na kufanya kazi zote za kiofisi.
  Ofisi hii inashughulika na mambo ya Tour and Safaris pamoja na mambo ya diving. Ofisi ipo Zanzibar maeneo ya Forodhani karibu na NBC Bank.
  Kama unahitaji au una ndugu jamaa au rafiki mwenye sifa nilizozitaja hapo, nitumie PM ili nikupe info zaidi.
  Shukrani
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,853
  Likes Received: 23,469
  Trophy Points: 280
  Kina kaka hawawezi kufanya hiyo kazi? Au ndo mchumba anatafutwa kiaina?
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Umri umeniangusha sogeza kidogo basi jamani mbona watunyima kazi wenzio???
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Babu Asprin! Mchumba hatafutwi kwa gia kama hii, ni kampuni ya mshikaji wangu wanahitaji mdada maana before walikuwa na dada mhindi lakini alikuwa hawajibiki ipasavyo wakamtimua na anahitajika haraka sana, sababu mshikaji anaenda ng'ambo mwezi mzima.
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaaa DA!
  Sio kampuni yangu mwaya.
   
 6. mean girl

  mean girl Member

  #6
  May 3, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  me naitwa zainab farid nahitaji hiyo kazi pls....
   
 7. P

  Pretty P Senior Member

  #7
  May 3, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mie pia nimeguswa na sifa ninazo kaka
   
 8. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  andika PM ikiwa na namba yako ya simu then i will call you back
   
 9. P

  Pretty P Senior Member

  #9
  May 3, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mie ninahitaji iyo kazi na ujuzi ninao
   
 10. P

  Pretty P Senior Member

  #10
  May 3, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  okey let me do it
   
 11. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mbona mnafeli kitu kirahisi sana... si amesema tume PM sasa ndo PM hiyo mnayofanya.... fuata maelekezo!!
   
 12. P

  Pretty P Senior Member

  #12
  May 3, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  BUSHbaby acha ujuaji, PM umejuaje kama nimetuma au laaa??
   
 13. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Tatizo Watz hatujui kufuata maelekezo, kwani alikuambia ukishatuma hiyo PM uanike jamvini??
   
 14. H

  Henasmile Member

  #14
  May 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mi naitwa Helena Sylvester. nina hizo sifa lakini nitawasiliana vipi na wewe kwa ajili ya hiyo kazi. Mimi namba yangu ya sim ni 0713233073
   
 15. H

  Henasmile Member

  #15
  May 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  nisaidieni maana ya PM
   
 16. a

  aggybenny Member

  #16
  May 4, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  gat it.thank you.be blessed
   
Loading...