Dada una sura nzurii.....

Hahahahahhaa una hatari weweee..... ati mayowe ya shangwe aahahahahahhaaa looh.
Na ni nyie wanyamwezi ndio nilijua kumbe harage likikunwa vema likakunika na kufurahi huwa linasimama baana! ( check check check kisssm kimesimama dia check check) nimemnukuu mnyamwezi yule wakati tunatiana - wakati huo macho yetu wote yapo kodoo kushuhudia kilivonyanyuka- Mengine tutaongelea pm
 
Hapana I love my avatar and am not going to change it.
Msifanye competition banaa am not here for that.... am just Kasie the way I am.
Basi sawa. Lakini naye anamaneno yule!
Huwaga ananipa raha sana kila akikomenti kama ulivyo wewe.
Kitu kimenifanya nishauri ubadili avatar ni kwamba,sura ya avatar pic ni nzee na real pic ni bomba kishenzi!
Na wengine Mungu kawajaalia mishepu, ad'raha!
 

Hahahahahah basi usiendelee watoto watapofuka masikio hehehehehehee.
 

Asantiii
 
Mbona kawaida tu.me mdada mzuri huwa namsifia tu
Shosti una tako hatare
Shosti una mguu
Shosti una mtindi
Shosti una fito
Shosti una lips
Shosti una macho.... Kawaida tu yaani
una wivu ww usimwambie tako, mwambie shosti una Wowowowoooo bomba kabisa la kuwapotosha wanaume wenye maadili yao
 
Dogo kuna watu wa kukosoa sio THE LIST..huwa sikurupuki katika maneno iwe ni verbally or none

Nikusaidie, ninaposema Geutrain sikubahatisha labda aliyekusimulia muulize mara ya mwisho kuwa Bondeni ni lini?

Wenyeji wa SA wanajua kuwa kuanzia miaka ya 2000 kumekuwa mabadiliko makubwa ya majina ya mitaa,airports, miji n.k

wenyew wanasema majina ya mitaa hiyo ni matokeo ya 'architect of apertheid' na hivo wamekuwa wakifanya mabadiliko kuendana na historia zao za mageuzi ya kijamii na kiteknolojia kama iyo reli.

leo hii ata huduma za TVM za malipo ya tickets zimekuwa adjusted, Gautrain imekuwa embraced kama jina la mji since njia hiyo ya reli kukamilika.

Pretoria yenyew saivi inaitwa TSHWANE unalijua hilo? 'Wena silima' mtafute m'zulu akutafsilie iyo empty set kabisa!!
 
Mbona kawaida tu.me mdada mzuri huwa namsifia tu
Shosti una tako hatare
Shosti una mguu
Shosti una mtindi
Shosti una fito
Shosti una lips
Shosti una macho.... Kawaida tu yaani
Miss Natafuta wewe mzuri
 
Mbona kawaida tu.me mdada mzuri huwa namsifia tu
Shosti una tako hatare
Shosti una mguu
Shosti una mtindi
Shosti una fito
Shosti una lips
Shosti una macho.... Kawaida tu yaani
Mwenyewe nasifia. Hata akipendeza namwambia umependeza. We mzuri.
 
I am your angel- Celine Dion
One more night - Phil Collins
You know Casie, you win again
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…