Dada una sura nzurii.....

uko vizuri kiukweliiii...ningekuwa karbu na ww ningekuambia neno ili....?
 
Haya ngoja mi nihitimishe. Casie Nipm basi bibie nami nikusalimie peke yangu roho itulie. Caution: hiyo unayoiona ktk avatar ndio Sura yangu Halisi.
 
weka picha ya aliyekusifia.....tuanzie hapo....halafu unaonekana ni dizaini ya wale vibonge vibonge kila kitu kimeungana....tehe tehe..ila mnakuwaga na huruma na mapenzi sana nyie ndicho kinachowakosti..........

Umepatia kila kitu, umejuaje wewe? !!!
 
Asikuchanganye huyo, kwa picha yako hapo juu wewe ni mzuri mashalaa!

Nashukuru kwa kunisifia umeniongezea tabasamu. Kusifiwa kizuri jamani yaani ujasiri unaongezeka na mikogo juu hehehehe shida tuu ndo umri ushatutupa mkono.
 

Nami nilikua na wazo kama hili. Maana SA wadada wanaoana. Nina hakika alikutamani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…