Dada umeoga?

Dada umeoga?

Missy Gf

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2022
Posts
5,590
Reaction score
15,743
Leo ni jumamosi
Kabla hujaenda kunywa beer za watu hakikisha umeoga vizuri umetakata, tena tumia muda kujisugua vizuri, mtoto wa kike unaoga dakika 3 na unajisifia kweli kweli
Na usiogee jamaa wewe sio sufuria, shower gel zipo hadi za 10k kanunue uoge utakate, raha ya kuoga mwili uteleze bibi weee

Leo safisha mazingira hayo kama waxing imekushinda kanunue hata hair removal ya buku 5 , dada umevaa cargo pant ya afu salasini ila kijasho kama wabeba mizigo wa mabibo sokoni 😆

Subiri
Hapo katikati ya mapaja sugua,huo weusi ni uchafu
Sugua ulimi huo, unajiita kontawa na haujui mouthwash
Unanuka mdomo kama jalala,ulimi mweupe ni uchafu huo sugua hadi uwe wa pink.

Hizo kucha safisha, katengeneze kucha bwana wewe sio gaidi, sugua gaga hilo na ulipake Vaseline mtoto wa kike mguu laini muhimu.

Ngoja kwanzaaaa, hiyo mito na foronya umebadilisha lini ndo maana chunusi haziishi. Ni lini umenunua shuka jipya binti, ni lini umesafisha uvungu wa kitanda unafkiri mafua yatapona? Utaishia kusingizia corona corona hakuna bwana fanya usafi chumbani, safisha feni hiyo,safisha uvungu wa kitanda

Kafue hiyo sidiria yako nyeusi na ununue mpya,
Hizo mosimo leo zifue basi uzianike juani
Na leo ukifua hizo chupi zianike kwenye jua,acha kuanika kwenye msumari huko bafuni mende wamezichoka

Haya na usisahau kusugua kidaka ushuzi hicho..eid ya kuchinja leo ngoja nikachinje mie!!!
 
Leo amekuja kwa mbwembwe sana 😒😒.
FB_IMG_17489790734280977.jpg
 
Kidaka ushuzi sio basi sawa wamekusikia, waongezee hapo na ule mfereji kuanzia mgongoni kushuka chini uoshwe na kupakwa mafuta, kuna dame ukimuweka doggie unaona mfereji umepauka kabisa
 
Wadada njooni huku kuna ujumbe wenu siyo mnajua kuomba hela usafi shida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom