copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,381
Mtoto Cathy ni mimi hapa, nimekutafuta sana sijakupata mkuu dah, kama bahati vile kabla ya Pasaka wewe hapaa, nakuja na orodha ya mahitaji ya sikukuu jipange😀.
Mkuu sijatangaza dada yoyote nimesema Cathy namjua vizuri alivyo na namba yake ya tigo nakumbuka inaishia 47
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Pole Mkuu. Cathy kakamatwa huko Shinyanga na Magiligimba kwa kutoa takwimu za Covid-19 za uongo.
Kamdhamini, ukabidhiwe na polisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona unataka kumuharibia pasaka yake. Mbona unamwaga mchele kwenye kuku wengi.Mkuu sijatangaza dada yoyote nimesema Cathy namjua vizuri alivyo na namba yake ya tigo nakumbuka inaishia 47
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii inakuaje maana mimi nilisave kwenye sim card tuHujui Kusev majina kwenye google? Ukisev Google hata simu ipotee uko renew lazima kila kitu hadi picha kirudi
Kama kuna jamaa anammiliki huyo mtoto hamfai hata kidogo tena jamaa ni mfujaji huwezi ukaruhusu mtoto kama yule apande daladala halafu atumie simu cheap kiasi kile imenishangaza kweli nahisi hana mtu badoMkuu naona unataka kumuharibia pasaka yake. Mbona unamwaga mchele kwenye kuku wengi.
Kama ana jamaa yake mwingine saa hizi dada wa watu anakula makofi kwa kukupa namba yake.
Kwa nilivyokuona kwenye daladala huna mahitaji unaweza taja nikahisi kweli nimekuhudumia mimi ndio nitakubadilisha kabla hujaongeaVipi mkuu, Nije na hiyo list ya mahitaji pia?
Ndio mapenzi hayo mkuu. Hujui jamaa anampa nini.Kama kuna jamaa anammiliki huyo mtoto hamfai hata kidogo tena jamaa ni mfujaji huwezi ukaruhusu mtoto kama yule apande daladala halafu atumie simu cheap kiasi kile imenishangaza kweli nahisi hana mtu bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Smartphone zina option ya kusev google, la muhimu in kukukuka password ya google Ac
Hamna mkuu ni katika kumtoa tu wasiwasi ajue mimi mtu wa aina gani pia ili asije puuza na kukosa bahati
Sent using Jamii Forums mobile app